@lynbeautyandcosmetics20: ✅ Husaidia kusafisha sehemu za nje za uke (vulva) kwa upole. ✅ Husaidia kuondoa jasho na harufu mbaya, na kukuacha ukiwa na hisia ya usafi na ubichi. ✅Ina pH iliyosawazishwa, hivyo imeundwa kuendana na ngozi ya sehemu za siri na kupunguza uwezekano wa kuwasha ukilinganisha na kutumia sabuni za kawaida. ✅ Aina nyingi za Femfresh hazina sabuni (soap-free) na zimefanyiwa majaribio ya kitabibu na wataalamu wa ngozi na uzazi. Bei ni 25,000 Call/Whatsap 0676441869 📍Moshi Kilimsnjaro