@kijanawakanisa: Neno 1 kwa Mapadre wapya #GilbertMkatoliki

Gilbert Mkatoliki 💎
Gilbert Mkatoliki 💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 15:49:56 GMT
4259
432
28
13

Music

Download

Comments

user9321196245156
sylvia :
mungu awaongoze katika utume wenu kikamilifu
2026-07-31 06:21:50
0
mungu.ni.mwema3
Mungu ni mwema :
Mungu mwema awalinde na kuwaongoza daima
2026-07-31 06:25:12
0
user5838135272161a
user5838135272161alex mbaba :
hongeren
2026-07-31 05:58:46
0
sabina.daati
Sabina Daati :
Mtayashinda Yoote katika Yeye Awatiaye Nguvu. Asante Mungu kwa Baraka za kuleta wafanyakazi katika Shamba Lako. HONGERENI SAAANA.
2026-07-31 03:47:29
0
diana.steven68
Diana Steven :
Hongeren xan jamn
2026-07-30 17:14:10
0
user2561410532356
user2561410532356 :
Mungu awaongoze ktk Kaz yenu.
2026-07-30 19:29:24
0
sophiamtukule
Wisdom :
utume mwema Mungu awaongoze
2026-07-30 19:04:04
0
maryjohn8853
Mary john :
ongereni mkawe wachungaji wema nakondo walisho yake
2026-07-30 17:06:33
0
dorry.kavisha
Dorry Kavisha :
Hongeren sana jmn mungu awalinde
2026-07-30 18:27:34
0
jenipha.mkenda
Jenipha Mkenda :
Nawatakia utume mwema mungu awabariki
2026-07-30 17:50:08
0
josephassenga742
Joseph Assenga :
mungu Asante kwa watenda kazi wspya ktkt shamba lako
2026-07-30 17:40:46
0
rajaburashi
Ivan Rashidi :
ongereni kwa utumishi mwema
2026-07-30 17:33:07
0
user3690562752302
clever123@ :
mungu awalinde
2026-07-30 17:03:28
0
user7787127977087
mrs dida :
mungu awaongoze katka utume wenu🌹🌹
2026-07-30 16:51:14
0
user3204470046685
Jaclin Shayo :
hongeren sana Mungu awatangulie kwenye wito wenu
2026-07-30 16:01:30
0
user7172845686014
neophita mussa :
mungu awabarik xan
2026-07-30 16:47:15
0
getruda128
yusrakika :
hongereni san
2026-07-30 17:30:37
0
beti1076.m
albetinamwenda :
Mungu awatie nguvu katika utumishi wao
2026-07-30 17:21:49
0
moyesoka
Moye Soka :
Mungu awalinde awabariki sana awatunze watumishi wa Mungu
2026-07-30 16:18:26
0
dorn.k
Dorn K :
Mwenyezi Mungu akasimame na nyie siku zote za utume wenu
2026-07-30 16:04:14
0
cary305
Nick carry305 :
Nawakiaa utu mwemaa MUNGU akawe kiongozi wao🙏🙏🙏🙏
2026-07-30 17:16:13
1
teddy.ngowi
Teddy Ngowi :
MUNGU uwafikishe panakostahli wakaokoe wajawako amina.
2026-07-30 16:47:05
0
user38531136631455
maria Johnson :
mungu awaongoze katika utume wenu
2026-07-30 17:16:20
0
paul.chacky0
Paul Chacky :
Mungu anazidi kujaza wafanyakazi katika shamba lake
2026-07-30 16:27:03
0
teddy.masumbuko
Teddy Masumbuko :
🙏🙏🙏
2026-07-30 16:00:17
0
To see more videos from user @kijanawakanisa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About