Aghaa labda sio hii degree yangu ya pharmacy nasema siendiii na hakun kitu watanifny
2026-07-30 20:32:10
31
IT'S BIMBO🌸💜 :
sjawahi kufnyiwa ivyo kwanza kulkuwaga na chai ya staff had sisi🥰🥰
2026-07-31 05:56:06
49
_Its_P❤️🌻💦 :
Lbd field ya course yko dr 😂
2026-07-31 14:26:52
3
Ummy🌸 :
me sijawah kufanya jamani mpaka namaliza mwaka wa 3 kwanza kulikuwa na chai na siku ya mwisho tukafanyiwa party ☺️
2026-07-31 07:45:21
3
𝖛𝖆𝖓𝖎𝖊𝖗_𝖉𝖆𝖑𝖑𝖆𝖟𝖞 :
ndo maisha yang ya field ayo jmn..☺️☺️☺️
2026-07-31 09:54:50
6
husein :
me nilifanya bank cjawah kutumwa ,cjawah kufanya usafi,sijawah kukaa na njaa yn kwa herufi kubwa SIJAWAH KUKAA NA NJAA .nyi izo field za kufanyishwa usafi mnazipataga wapi 🤣😂😂