@fixhub.ke: Watu wengi huunganisha vifaa vya moto mkubwa kama cooker, oven au water heater kwenye socket ya kawaida. Hilo ni kosa! ❌ Vifaa hivi vinapaswa kuunganishwa kwenye switch ya 45 Amps iliyopo pembeni yake. Hiyo ndiyo imeundwa kubeba mzigo mkubwa kwa usalama. 🔥⚡ Usifanye kosa hili nyumbani. Linaweza kuunguza socket, kuharibu wiring, au hata kusababisha moto. 📍 Fix Hub – Mombasa 📞 0715 365 994#fyp #foryou #fypシ #mombasatiktokers #foryoupage❤️❤️ @mukito

fixhub.ke
fixhub.ke
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 30 July 2026 17:04:52 GMT
21468
519
36
316

Music

Download

Comments

dre_easy_
Dre.easy :
I don't understand the point kuweka apo if i can't use it mpk niite fundi?💁🏾‍♂️
2026-07-31 00:05:50
1
_a.abdhul
@_arm :
mbona wasieke dedicated socket ya cooker
2026-07-30 19:04:36
0
user434251060
UMMU NAZRAAT :
mm nikieka oven tuu hapo wallai nyumba yote hupiga shot mpk kwa meter
2026-07-30 20:05:03
5
fatimaafroo
♥️♡。.。 Ⓕⓐⓣⓜⓐ🎀فاطمة 。.。♡♥️ :
na kama uko na oven iko kando na cooker, can you use the socket?
2026-07-30 20:15:29
2
cutie_nura2
nura :
na kuweka cmu charge nu vpi
2026-07-30 21:27:45
1
monthellicious
Monthellicious :
is that the reason pengine cooker haifanyi,Inatoa moto mdogo sana hata huwezi pikia..lakini oven Iko sawa kabisa
2026-07-30 22:10:11
2
ummy098
ummy098 :
Mm niko na oven yangu nikiweka hapo inafanya shiti na haileti moto kabsa
2026-07-30 22:56:05
1
fettyfetty001
fetyyfetty001 :
bas naiona ivo ndio najua iko strong na nikali yani iko n mto mwingi
2026-07-30 22:28:47
1
sweersptdx7
mamraj2014😍 :
shukran
2026-07-30 21:45:32
1
the1andonly_abuus_najuu
the1andOnly_abuus_najuu :
nahiyo socket ukitumia kwa mashini ya maji kupandisha iko sawa?
2026-07-30 21:38:28
1
eng.mwadime
MIMI NDIO MWADIME :
so kama cooker ilikuja na top plug from manufacturer inafaa ikatwe hiyo top plug sio
2026-07-31 01:44:25
0
bakari.athman6
Bakari Athman :
kweli hata mm nime cornectiwa hivyo
2026-07-30 19:07:03
0
ummy098
ummy098 :
Nime jaribu pia kuita mafundi lakini oven ina shoti mpaka cjui imeungua maana haileti mot kabsa
2026-07-30 22:57:39
1
malfengas
Malfengas :
👌💯
2026-07-30 19:59:07
1
To see more videos from user @fixhub.ke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About