@simueasy: Replying to @willymsomba488 namna ya kuset network endapo inasumbua kwenye Simu yako. how to set mobile network access. #TechTips #viral #fpy #foryou #foryoupage @TikTok @Google @Google Pixel @apple
kaka kilaa ckuu naomb unielekeze jinsi ya kuzuiwa message zisisomeke maan mtuuu akitumia message palee juu zinasomeka mpk jina la mtuu xax hviii mm ctk natka isomee message tuuu naomb nisadie kaka
2026-07-31 14:45:09
2
Meshack · 梅" 🈵 :
mbona simu ni google pixel 6a lakini haipandishi 5G KWANIN
2026-07-31 22:02:58
0
Annania 47 :
unaongeza kama AI
2026-07-31 11:30:13
2
Matip the top 🎩 :
nafanyaje ili is one lain mbili japo kuwa n single line
2026-07-31 10:41:26
0
Haniu HR :
mm Nina pixel 7a nikimpigia mtu simu mara moja lazima then niwashe alafu nipige tena
2026-08-04 04:46:39
1
I am__pluto :
pixel yangu inasaut ndogo sana na mwanzo haikuwa hivi shida nini
Mimi bando linaloka vibaya mnno natumia pxl 7 plein
2026-09-14 21:09:07
0
annie❤🥰 :
iPhone yangu inasumbua kusoma laini
2026-09-08 09:03:37
0
ashery :
kaka mm sim yangu ghafla haipandishi mtandao niniandikia emergency call only nini shida kaka nisaidie
2026-08-31 17:39:30
1
Bwam muu :
😁 NISAIDIE WIFI IWE IJAE MANA IPO KIJINO 1 NATAKA IJAE VYOTE HII WIFI YA JIRAN YNG KANIUNGANISHA MWENYEWE PLS
2026-09-10 21:42:37
0
Saidy Mailo :
mimi simu yangu nikiweka rain ya eater na halotel ira nyengine zina kubar
2026-07-31 11:35:29
0
Ibravol_Jr :
Naomba nielekeze namna ya kufuta vitu vya Whatsapp na picha nlizo zifuta mwanzo
2026-07-31 11:03:44
0
evansiwiliasi415 :
nilekeze simu iwe na laini 2 kaka
2026-09-13 10:13:49
0
eddy%%% :
jinsi ya kuondoa miscall kwenye file
2026-09-24 13:21:40
0
Hitiler23 :
ebhana hiv kile kinamba 6 kwenye internet bar ya wi _fi inamaanisha nn kwe
2026-09-13 08:04:47
0
JAY LOMALISA 🎚️ :
cm yangu pixel 6pro line inasoma ila imeandika emergency calls only kwann nmepeleka kwa fundi ameshindwa
2026-09-19 13:14:02
0
blaq zaina :
naomba unielekeze jinsi notification zinavyoingia WhatsApp inionyeshe yaan nione pale juu
2026-09-12 13:08:28
0
officially_Ronny :
nifanyie ya vivo Y67 haipandishi mtandao
2026-10-07 11:20:43
0
timbe hassan :
simu yangu ya Samsung kuna application nikitaka kuzifungua inanitaka niwashe wi-fi ili ndo zifunguke naomba msaada
2026-10-12 12:48:03
0
Emmanuelle :
habari simu yangu inachemka. hatari shida nini
2026-09-17 18:30:09
0
Abuusuleymanmaulidi :
cm yangu pixcell 3a nikiweka lain ya halotel haipandishi mtandao kabisa yaan haisom kabisa hata nikiwa na gb 100 hata nikiwasha wifi inagoma kwenye halotel lakin lain ya voda inakubali kwenye wifi
2026-09-06 05:16:56
0
Abuusuleymanmaulidi :
je kwenye pixcell 3 maana lain ya halotel nikiwasha aishiki mtandao
2026-09-06 05:14:24
0
Farhaji Fadhili :
mkuu pixel 6 inatumia lain mbili au moja
2026-08-25 06:28:19
0
khaligraphy03 :
mbona line za halotel hazishiki kwenye google pixel 6a pro?
2026-07-31 15:25:42
0
To see more videos from user @simueasy, please go to the Tikwm
homepage.