@coolnews24hrs: DAAH! Siku ambayo ulimwengu wa soka ulisimama! 💔🌍⚽Kwenye michuano ya Euro 2020, kiungo wa Denmark 🇩🇰, Christian Eriksen, alianguka ghafla uwanjani baada ya kupata mshtuko wa moyo (cardiac arrest). Dakika zile zilikuwa za majonzi makubwa, huku mashabiki na wachezaji wenzake wakibubujikwa na machozi wakijua jamaa tayari ameshafariki! 😭😭Lakini kwa miujiza ya Mungu na kasi ya madaktari, Eriksen alirudi uzimani! Leo hii bado anatandaza soka la kulipwa na kuendelea kutuhamasisha. 🔥🙌Ulikuwepo wapi siku hii ya kihistoria? Angalia video yote ujionee ushujaa wa wachezaji na madaktari! 👇👇#Eriksen #Euro #FootballMiracle #Soka #ChristianEriksen