ivi unajisikiaje uliepost video ko kwako n kichekedho au ila watyu bhana mmeniumiza sana coz hay watyu tushapitia na huyo n mtoto😭😭
2026-07-30 21:50:56
15
Bina ❤️ :
Hivi mnajua mnavyo timiza jisi mnavyo post hivi vitu baya watt jmn wengine huwa tuna acha watt wetu nyumbani na watu tofaut kwahiyo mna tutesa tuna jikuta tuna lia 😭😭😭