overthinkers+introvert - Afisa upelelez uwez mdanganya huwa tuna unganisha dot tena awe group 0 kama ww ni mwenzangu like apa
2026-09-01 06:34:17
2
Greet 🌹👩❤️👩 :
kila kitu dada had najionea huruma
2026-09-01 17:17:16
2
Bossbaby 🌺 :
Virgo ndio vitu vyetu tunawaza adi basi
2026-07-31 07:27:35
9
@Řeal Heaveñ...🤍🖤 :
no 1 kwangu ni 100% 😔
2026-07-31 01:20:42
5
jay :
jamani umenigusa sana
2026-09-02 08:55:40
1
Nancino :
Virgo wote hii inatuhusu
2026-07-31 11:10:56
5
Machinga__electronics :
Leo ♌️wa August Ndiyo yetu. Haya na hatulali
2026-08-01 19:41:01
2
Omom fashions Tz :
wewe dada umetumwa kunisema😂😂
2026-07-30 22:25:09
3
Jesus Daughter :
Hapa nilipo nina presha na ni stage no 1.Hivi Mungu anisaidie.
2026-07-31 05:45:33
2
Mamy TikTok 0010 :
kwani uko kwa akili yangu we dada jameni😳
2026-07-30 22:41:50
1
Aisha Suleiman :
mm uwa nawaza mambo mengi sana
2026-07-31 00:11:11
1
Mrs'Y' :
mbona kama umetembelea maishayangu?
2026-07-31 02:50:10
2
Ldrisa Kingazi :
mimi hata nikipokea kibunda cha pesa leo wenzangu nilio nao watasherehekea na kufurahia kujiachia mimi kwangu ndio nimepewa mtihani na mawazo lukiki,naumiza kichwa zaidi nawaza ntfanyaje lli zisiishe.na hata kwenye furaha kicheko wote tunacheka lakini mimi nacheka huku nalia ndani kwa ndani huku ni kiwachunguza ninaocheka nao upande wao wapili.mtu anacho niambia kwa mfano akisema na kupenda,cbakii hapo na fikili na kinyume chako.je mimi nikama huyo unaemuongerea?
2026-07-31 02:58:50
1
phania :
Mimi kabisa
2026-07-30 20:41:21
1
Candy :
Dada umenigusa sana katika kila hatua! mpaka sasa nashindwa kuingia katika mahusiano kwasababu mwenzangu kila anachokifanya najua mara nyingine nafsi inniambia nenda sehem flan nakikuta kile nilichokua nakiwaza! kiukweli mpaka sasa nimesha pambambana n masuala ya hisia kw sasa naweza kukaa miaka 2 bila kulala na mwanaume na nipo sawa tuu
2026-07-30 21:08:48
1
Huruma Ngongi :
huyu ni mimi kabisa
2026-07-31 02:51:16
1
Ashee Abdukariim :
yote kwangu ndio nnayopitia.km upo kwenye alili yangu.ndivyo nilivyo.
2026-07-31 01:54:22
1
Jenny Erasto :
mbona kama zote ni mimi hasa hii ya kosa limesapita lakini bado nitaendelea kuwaza mara itakuwa amenionaje au itakuwa kajiskiaje yaani nawaza hadi basi
2026-08-25 09:20:26
1
n@x,x uk mjukuu wa mkulima :
mimi kwa upande wangu ni sifa zote zime nigusa
2026-08-02 03:11:37
1
Cokola Banguma :
vrement
2026-08-05 19:56:42
1
stellasimon :
mimiii
2026-08-03 20:30:37
1
user9699654994996 :
hoooo do mimi sana,Ila kama kunakitu kimbaya nitapitiya masaa za mbele najuwa Ila shinda nayapuhuziya,kama mutu atakufa najuwa tena sio masiku nyigi ,haitoshi najuwa Siku mupenzi wangu tunaweza tukagombana ama kitu atakacho nijulisha bila hâta yéyé kusema
2026-09-02 12:27:18
1
user9699654994996 :
haaaaa bona nimimi hapo,mimi kwasasa najichukiyaga sana
2026-09-02 12:22:16
1
123456 :
100%
2026-08-06 20:28:15
1
To see more videos from user @vanroseavith, please go to the Tikwm
homepage.