@clickmaster_1: Maisha ya shule nayajua vyema kwakua nimepita huku, mara zote hua kunakua na wanafunzi wenye hali duni na wenye kuhitaji msaada wa vifaa vya shule, hivyo Kwa kidogo nilicho kua nacho nimeamua kugawana na wanafunzi wahitaji, Napia Nawashukuru walimu kwa kupokea kidogo changu kwa moyo wa upendo na furaha. 🙏🏽 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #clickmaster #WATAJUA
Click Master
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 20:19:07 GMT
Music
Download
Comments
MANYANYA🇹🇿 :
hongera mdogo wangu ntachukua wanafunzi wawili washilik kwenye muvi yangu yadunia
2026-07-30 20:28:16
120
JAPHETH :
kama unaangalia saa tano usiku like hapa
2026-07-30 20:23:49
56
savagedollars1FX 📈 📉 :
Nan kamuona bibi angu Mwalyambi?🥰🥰🥰🥰😂
2026-07-31 09:36:43
12
KING_MELODY 👑 :
kama unaangalia saa6 usku tujuane
2026-07-30 21:49:49
18
Gloire officiel 🫡❤️ :
mungu akusimamiye click master
2026-07-30 20:56:40
0
Fybe jj :
uyu mwalim aliye ongea mwisho anaone kana ni mkali
2026-07-31 12:24:56
7
neemantale :
Namuona mwalimu Tete
2026-07-30 21:43:59
1
Glory :
Hongeraa una moyo wa shukrani
2026-07-30 22:07:30
2
MTAFARUKU COMEDY :
MWALIMU HUYO WA MWISHO ATAKUA MWANASIASA SOON
2026-08-01 08:48:14
3
shebughe zainabu :
kam unatizam saa sab usiku lik hap
2026-07-30 22:08:47
6
dj bravoo :
kaka nakukubali sana natamani nikutane nawewe siutani
2026-07-30 21:51:19
2
Julius Maiko :
Ubarikiwe kk
2026-07-30 21:17:31
3
Meeh🏀Cuch :
mungu akuongezee ulipotoa
2026-07-31 12:59:15
1
elipartson :
waoo nmefurah kuwaona walimu wangu akiwemo na ktunusa
2026-07-31 12:59:49
1
nana😘 :
awee si tunakupendraaa mnooo ko tukuombe usije badilika vibaya🥰🥰🥰
2026-08-01 09:17:45
2
Durak Tz :
Allah akujalie afya njema na riziki pia ktk upambanaji wko inshallah
2026-07-30 20:24:46
7
Notable Music 🎤🎶🎶 :
kak mungu azidi kufungua milangoo yakoo ya barakaaa
2026-07-30 21:14:25
5
onngajames :
saf kabisa
2026-07-31 19:35:51
1
Lilian makamba :
sijui kwanini nalia
2026-07-31 06:57:37
1
Mr_chardyjr45💫 :
mkali🔥🔥🔥
2026-07-30 20:22:48
3
Common_tdk :
Click master unatisha Sana duuh! Umenifunzakitu kaka
2026-07-30 21:07:29
4
eema gibo :
leo ndio najua jamaa unatokea mbeya
2026-07-31 06:44:44
1
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.