tahadhali umbali wa mita 30 au 50 mbele, kuna uwezekano wa kuwepo watembea kwa miguu pande zote mbili, hivyo basi usiendeshe zaidi ya speed 20.
2026-08-02 15:52:12
5
NEVER BROKE AGAIN TOOKKAV :
alama ya onyo au tahadhari kuna uwezekano wa kuwepo watembea kwa miguu kando kando ya barabara
alama ya nyongeza uelekeo unahusika na ujumbe wa alama kuu , ujumbe unahusu pande zote kulia na kushoto
alama ya amri ya marufuku kukataza kuedesha gari speed zaid km20 kwa saa
10 kwa saa
5 kwa saa
2026-08-04 21:03:15
1
Elisha Mwagwegwe :
Onyo au tahadhali mita 20 mbele kunawatembea kwa miguu pande zote kando ya barabara
2026-08-03 12:13:57
1
@P7 :
asantee
2026-09-03 18:35:56
0
air :
tahadhar mbele kuna watembea Kwa miguu Kando Kando ya barabara pande zote mbili kulia na kushoto😂
2026-08-01 12:01:30
2
Jaivaaa Rb :
naomba namba za kiteto school
2026-08-05 11:17:06
0
Ramadhan :
heee wap uko mkuu
2026-07-31 20:46:56
0
GAVIDASI SAMWEL :
endesh speed 20,, pia chukua tahadhar kuna waenda kwa miguu hilo eneo
2026-08-22 14:50:03
0
NEVER BROKE AGAIN TOOKKAV :
io nyengine kulia ni
alama ya amri ya kukataza marufuku kusimamisha gari hapa 😅😅😅 mwalimu
2026-08-04 21:06:30
1
UNCLE D :
🥰🥰🥰
2026-07-31 10:55:30
1
To see more videos from user @ismailallyjuma, please go to the Tikwm
homepage.