@heisdrizzy_: Kila Goma Lake Ni Balaa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ @Click Master #kingwafirstyear #trending #fypใ‚ทใ‚šviral #music #newsong

๐Š๐ข๐ง๐ ๐–๐š๐…๐ข๐ซ๐ฌ๐ญ๐˜๐ž๐š๐ซ
๐Š๐ข๐ง๐ ๐–๐š๐…๐ข๐ซ๐ฌ๐ญ๐˜๐ž๐š๐ซ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 20:57:22 GMT
81225
6379
64
33

Music

Download

Comments

lupiastar
MAKOLA HARDWARE :
adi sasa ajaimba mapenzi na ngoma zinaondoka
2026-07-31 05:30:53
76
bad.khan897
Bad nails ๐Ÿ’… :
Kwasaiv namkubal kulko ata mond
2026-07-31 06:18:22
33
user849214378241
mr lwiba :
Safi dogo KAZI njema
2026-07-31 07:10:08
8
phonc30
phoncรจ :
akitoka remix na mbosso itatisha sanaaa.
2026-07-31 06:31:42
6
samwelkavishe200
Samwel Kavishe :
Sema washua dah mungu awaweke sana baba zetu ase japo hututangulia ila wanamengi moyoni wanapitia heshima kwa mzee wangu sana ๐Ÿซก
2026-07-31 07:22:25
12
angel1bless
blessed girl ๐Ÿ™๐Ÿ™ :
saf sana uko vizur ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
2026-07-31 05:57:35
7
user5687748246611
Sadala mkorea :
makofiii ๐Ÿซก๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
2026-07-31 10:24:22
6
brand_vibes_
brand_vibes :
nachompendea hafagilii mapenzii๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-07-31 20:32:00
4
lingtoneo6
living06 :
Umetisha nyimbo za hivi tunazihitaji
2026-08-01 10:11:14
1
user61600298279
lupimojr :
yani nyimbo hii ndo ina zidii Kuni Fanya ni tafute pesa kwa hasila ilii wajue nana ntawanyosha walio ni kimbia
2026-07-31 16:49:23
2
young.shug4
loade mavoko :
nakubal sana broo una juwa utafika mbal sana
2026-08-02 04:50:04
1
mkinga900
MKINGA MAGARI BEI CHEE๐Ÿš˜๐Ÿš›๐Ÿšœ๐Ÿš‘ :
kama alisikia mama alisema aimbe nyimbo za kijamii sio vinginevyo atataboa tuuโ˜‘๏ธโ˜‘๏ธ
2026-08-01 06:40:09
1
chardboy.fighter
chardboy fighter :
jina la nyimbo jamaniiiiiii
2026-07-31 12:48:22
1
shua.touch
SHUA TACHI PRD NI MALONGO :
watajua daaaa
2026-08-01 06:49:43
1
jacline.imma
Jacline Imma :
Uko vizuri
2026-07-31 05:55:30
1
officiall.h8
officiall h :
kwa kwel๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-31 06:16:59
0
sylvia.asila
#Mama girls๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ :
much โ™ฅ๏ธfrom๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
2026-08-01 08:33:23
1
kilyboe25
kilyboe :
kama mboso vile mistar yake
2026-08-02 14:06:37
0
linahfaris
linah :
kabisaaaa
2026-08-02 07:16:36
0
selemani9934
Selemani :
mdogo wangu sasa nakubali kuwa ubahatisha nakuweka kwawenye kujua..unamdogo wangu ..
2026-08-02 13:04:17
0
mo.kauma.jr
Mo Kauma Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
Noma jamaa anajua sana
2026-08-01 11:47:37
1
nicksonakyoo0
NICKSON AKYOO :
siku nkipata watajuwaaaa..
2026-08-02 12:07:09
0
mrboshen4
Zungu001 :
True
2026-07-31 07:33:12
0
To see more videos from user @heisdrizzy_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About