@abdul.machine8: Amputee Football ni zaidi ya mchezo ni chombo cha kujenga uwezo, kuleta matumaini na kuhamasisha ushiriki wa watu wenye ulemavu katika michezo na jamii. Kocha ana nafasi muhimu katika kuendeleza mchezo huu kwa kuwafundisha wachezaji ujuzi, mbinu, maadili na nidhamu vitakavyowasaidia kufikia mafanikio ya ndani na nje ya uwanja. Kocha Abdul Machine. Mguu utaongea

Abdul Machine
Abdul Machine
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 21:22:46 GMT
388
23
1
0

Music

Download

Comments

sememajor
sememajor :
really talk homie
2026-08-01 08:43:37
1
To see more videos from user @abdul.machine8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About