@wedding_tz: #wedding#creatorsearchinsights #tanzaniatiktok #harusi #weddingtanzania🇹🇿

Wedding_Tz
Wedding_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 22:34:43 GMT
64182
2548
56
624

Music

Download

Comments

user93184993246567
you & me # :
babu naomba namba zakoo we have alot to talk 🫠
2026-07-31 18:40:54
0
paschaliakomba
Paschalia komba 🇹🇿 :
NA USHUHUDA WIFI ANGU NILIMTEGA NIKAMWAMBIA NAONDOKA AKASEMA SAWA ONDOKA TUU MWAYA 😂😂😂😂 LOOOOOH SAIV JAMBO LANGU NI MIMI NA MUNGU ONLY🙏🙏🙏🙌 sasa hadi wifi anaona wivu ndoa ya kaka ake loooh🙌🙌
2026-07-31 15:35:16
18
msemwa99
msemwa99 :
daaaah mchungaj wangu mwingila
2026-07-31 18:09:50
3
zawadicharles20
zawadicharles20 :
kweli babu wataifa uko sawa kabisaaaaa
2026-07-31 11:30:00
24
hopwi18
Ms_Hopwi18 :
semaa Baba semaa Baba...
2026-07-31 16:38:32
1
jesca.paulo97
Jesca Paulo :
Ila ukishea jamani ka moyo kanasuzika😂
2026-07-31 17:37:39
3
baby.girl22364
baby girl 🥰 :
uyo ni Mimi kabisa sipendi kupeleka kesi yangu na mume wa kwa watu jamani😅😅tutanuniana siku mbili yataisha maisha yanasonga😂😂😂
2026-07-31 18:01:42
2
kay4real34
itsme :
jaman naipataje hii guyz hamna pakudowlod anayejua plz
2026-07-31 14:42:27
0
linakeake
linakeake :
Peleka kwa Mungu tu🥰
2026-07-31 05:04:03
3
nasrimaherezdibega
nasrimaherezdibeg :
mwingira ana high IQ
2026-07-31 16:15:16
1
sssumyan
sssumyan :
kweli mm mwenyewe sipendi kushare
2026-07-31 18:16:25
0
brianbenard
Brian Benard :
Naam 🙏 ni Mungu tu
2026-07-31 15:11:43
1
mala20207
I myself :
Sahihi
2026-07-31 14:31:42
1
user7904130461184
princess :
kweli kabisa baba
2026-07-31 17:24:29
0
mrm9610
MRM :
uko sawa mzeeeee
2026-07-31 17:19:58
0
winnycute28
Winny Mambasa :
asnteeee babu yangu
2026-07-31 12:43:53
1
jenivivalfred
jenivivalfred :
mungu namwambia na wazaz nawambia😏
2026-07-31 09:45:57
1
user7931356770352
Angelyona5💋 :
ni sawa kabisa Babu
2026-07-31 17:48:01
0
zennah036azra
Zennah Abdallah036 :
neema yamungu imtangulie babu inshaallah
2026-07-31 16:37:39
0
majidy.ally
Majidy Ally :
mzee weka lipa namba
2026-07-31 15:11:13
0
beatricesamwel4
beatricesamwel4 :
Nimeolewa na wasabato ILA wewe utabaki kua apostle wa maisha kwangu. Efatha funguka 🙏
2026-07-31 18:22:00
0
user11183361448288
agness :
my postar
2026-07-31 17:13:48
0
malka.jr1
Malka Jr :
Amen baba amen 🙏
2026-07-31 17:14:56
0
jefpele
jefpele :
Umeweka sawa kabisa mzee 👏
2026-07-31 17:10:44
0
swash510
Third born🦋 :
nipo ivyo
2026-07-31 03:08:01
0
To see more videos from user @wedding_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About