ningeshuka na hiyo plane walai mngedhan mimi ndo nmeletewa gwaride maana ningezikwenda mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰
2026-07-31 17:34:46
5
mima bby🩷 :
waaa🤣🤣
2026-07-31 20:31:18
1
shufa :
ni raha si raha😂😂😂
2026-07-31 15:43:27
1
🔱♋Đ₳_₲ØⱠĐɆ₦👑Ø₲⚜️🔱 :
nnavyo penda gwaride ngesaau pia kma nko airport 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 00:58:16
0
MIMAH'S COLLECTION 👗👜🥾🩰🥻f :
jamani raha
2026-07-31 16:30:53
0
C9 :
kuleta Maulidi Juma ya ruhusika mm Dec nina jambo langu😂😂
2026-08-01 02:42:24
0
Nai💞 :
ka si hivi sirudi mie
2026-07-31 16:52:40
0
Faizah Mwakarimbo :
mmmmh
2026-07-31 13:56:34
0
Amishkah❤️ :
basi haya😂😂
2026-07-31 13:58:43
0
🌹 :
jaman☺️
2026-07-31 13:16:25
0
kulthum :
watu wa airport wanajionea mambo
2026-07-31 10:03:53
2
happy002 :
mi pia nngejitia ingekua ndo nashuka saa iyo😂😂😂
2026-07-31 18:49:43
0
nimu hamisi :
Wacha ni tayari she mdundiko na kayamba aaah si bora sheree
2026-08-01 07:48:24
0
D. Rice :
Waona sasa vijana wapewe kazi hapo airport kila ndege ikituwa wawe wanakaribisha watu na goride km hivyo, wageni wanafurahi na wanajuwa wako MOMBASA kweli. Sio waingia kimnya kimnya kama kumefiliwa
2026-07-31 18:30:49
1
Bashlyn :
@It's kimwana🧕🤍🐾 @Siti fahima 😂😂😂
2026-07-31 16:26:03
0
mamushka34 :
@lilywizzy08,@mrs Osama 💍❤️
2026-07-31 15:40:02
1
Esha galgalo :
@Aisha baby💕💕💕🇰🇪🇰🇪 @mamuu @Miss shizoh🇶🇦🇰🇪 @Mrs suya @Xhamsa saray @Suleh @Boy Boy @Mrs Abdih @aisha ayenya
2026-07-31 17:36:35
0
To see more videos from user @mimamohaa254, please go to the Tikwm
homepage.