@muadhahmad22: إنا لله وإنا إليه راجعون Hakika mauti ni mlango na kila mtu atapita kwenye mlango huo Kwa masikitiko makubwa Tunatangaza kifo cha Ustadh wetu Abdallah Hamid , Hakika alikua ni mtu wema , Mchamungu na mwenye mapenzi makubwa sana na Bwana Mtume Muhammad ( S.A.W) Tunamuomba amkutanishe nae pmoja na waja wema Amiiin 🤲🏻