@user35967739319452:

ROJA MO
ROJA MO
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 05:31:14 GMT
163362
3784
187
616

Music

Download

Comments

salumchoma901
Salum Choma :
Jabari la muziki marijani Rajabu aliishia miaka 40 tu jamani?
2026-07-31 22:40:22
19
muhamedmasoud609
muhamedmasoud609 :
hivi Mzee Marijani alikua kabila gani
2026-08-03 14:33:46
2
saidimpinga
saidimpinga :
wakati anaenda kuzikwa jeneza lake niliona ,nikiwa mtaa wa lindi na sikukuu,mazishi yalifanyika mtaa wa Somari
2026-08-01 11:21:52
13
ramso1962
Ramso :
Died very young with a lot potential. Miaka 40 and still leave a mark. innalillahi wa innailayhi rajiun.
2026-08-08 11:22:19
0
lackson.kibona
Lackson Kibona :
jina la nyimbo please
2026-08-01 14:50:57
1
magingila.junior
Magingila@2025 :
Huyu ndio aliyekuwa mwanamuziki wa taifa
2026-07-31 17:00:21
12
bedi3210
bedi :
hizi nyimbo nikizisikia huwa napata simanzi zinanikumbusha wakati mimi na marehemu bibi yangu jioni naredio yetu ya mbao wakati huo wazee wote wahai
2026-08-05 18:41:33
6
daudisamnimbo
Daudi Samnimbo :
Mbona imeandikwa amezaliwa trh 03.03.1955, akafariki trh 23.03.1955 na akazikwa trh 24.03.1955. Fanyeni marekebisho maandiki hapo kwenye kaburi lake. Inalilah waina ilah rajuun.
2026-08-10 08:33:32
1
hamisi.nikuli
Hamisi Nikuli :
Allah amsamehe kwa kila alilokosea na amlaze mahali pema peponi
2026-08-01 08:29:08
5
the.great.empiror
The Great Empiror :
Mwamba amelala hapa,Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema!
2026-07-31 17:36:47
7
lessoelectric
Lesso Electric Solution :
Allah ampe makaz mema huko aliko , alizikwa wapi
2026-07-31 15:47:06
9
wazfa.mgweno
UHURU MCHANGANYIKO :
ALLAH MAGHAFILLAHU WAREHEMAHU WASKANA UFURJANA 🤲
2026-08-01 09:01:05
3
khalidynurdini
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
Allah amfutie madhambi yake na ampe kheli
2026-07-31 18:21:29
11
mursheedy
Muu :
Jabari la muziki
2026-08-02 07:44:08
3
bi.mariam45
Bi mariam :
Allah muondolee Adhabu ya kaburi
2026-08-02 15:14:42
2
hkujenzi
Hk ujenzi :
Bado miaka 8 kufikia umri alioondokea duniani ...subhanallah Allah nijarie umri mrefu pia niishi katika misimgi yakukupendeza wew
2026-08-01 11:33:20
7
tores.katelezu
Tores katelezu katelezu :
dah aliishi miaka michache sana jamani dah
2026-08-11 07:52:25
1
shuwana.liloka
Shuwana Liloka :
Allah Subhana Wataalah amsamehe. Aliumwa au ajali?
2026-08-02 20:28:42
0
ally_alvares_al_balouch
ally_alvares al_balouch :
MwenyeziMungu ampunguzie adhabu za kabri
2026-08-01 06:33:18
3
yusuphmpenja
Engineer :
nyimbo yake pendo pendo kali sana
2026-08-01 19:14:31
2
albashar.mgwami
Albashar Mgwami :
daaah
2026-08-01 18:28:25
1
mamishhd1
mamishhd1 :
Allah amuondolee adhabu ya kaburi
2026-08-01 06:46:28
3
idrisal.edinho
Idrisal Edinho :
hizi ndio zilikuwa nyimbo
2026-08-06 19:21:46
1
call.me.warda6
General marijan :
Allah amueke kwema kwenye wema
2026-07-31 19:12:34
4
chudu_classic_mr_dread
Chudu classic saloon✌️ :
alikua noma Yan nyinbo zake nazikubali sana mareem
2026-08-03 15:08:32
1
To see more videos from user @user35967739319452, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About