kuna time fathe ndio alikua napika dinner since mom had travelled.
His favorite dish was pork wet fry, alianza na kupika ugali vizuri Aftab kuiva akaweka juu ya ndoo kumbe kifuniko ya ndoo was loose,
mzae akakaranga pork very fine...kumaliza hatuoni ugali manze, ilibidi tukule pork ndufia since unga ilikua imeisha. kesho yake tunapata ugali ndani ya ndoo ya maji kumbe kifuniko iliturn ugali ikaingia kwa ndoo na kifuniko ikarudi vile ilikua 🤣
2026-08-02 18:49:06
154
DiihDiana :
Sisi ilikua Dania time ya covid ushawai Kula Dania na ugali wewe 🤣🤣
2026-07-31 12:54:24
1486
sammybeib3 :
sisi kuna time tulikuwa tunakula mihogo daily,,,mpka mbwa yetu ikatoroka home mpka leo haijawahi rudi
2026-08-01 17:11:28
748
Mercie Myra :
sisi tulipanda cabbage bei Ikashuka ..tulikula cabbage zingine tukipea ngombe ..ngombe yetu ilikua Inaona mzae inatoroka🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 07:43:08
415
yrimu symon :
hakuna kitu nilikua nachukia kama season ya marenge, ulikua unatokea shule jioni unapata ni marenge na viazi kila siku🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 09:47:27
209
M.A.R.I.E_ :
I have laughed mpaka I have crode.
2026-08-03 16:55:50
3
Wa njau :
🤣🤣🤣... Improved eyesight.
2026-08-04 18:37:40
0
faithkemuma :
Ushai angalia kitu unakua traumatized karibu ushikwe na seizures🤣🤣🤣hivo ndio mm huskia nkiona zile vitu okuyus huita mishiri ama kwa rusungu French beans 🤣🤣,mathe alikua anapika kila siku akitumia recipe zingine deadly,kwenye sasa nlijua huyu mama anataka kutuua alizichemsha Alafu akazikaranga n mafuta ya samaki bila nyanya bila kitunguu😭😭,Alafu sasa akapika ugali🤣🤣,povati if I catch you 🤦♀️🤦♀️🤦♀️
2026-08-04 03:37:39
11
Thrift by Mary :
now I'll never force someone to eat something that they don't like.
😂😂The trauma!!
2026-08-03 07:09:28
5
Mama gals :
someone bring me here tomorrow 😂😂😂😂
2026-08-03 20:07:53
5
utaniona ivi ivi :
me last night I was drunk and start telling my parents how I grew up as an orphanage ☺️
2026-08-04 08:12:11
1
HM :
kuna tym nilianza biz ya mahindi choma,wadau nilikuwa nachoma tano za kwanza na kaa zinapoa zinakauka nakula by 9 nilikuwa naingia kwa nyumba nakunywa maji kama ngamia nalala
2026-08-02 11:24:34
144
🦅Badgirl stepper🇯🇲 :
mimi siongei juu mosiria ataenda kushika uyo Mzee 😂😂😂😂😂
2026-08-02 13:07:28
90
💪💪super woman :
na Sisi sasa kitu tuko nayo kwa Boma ni maembe so kuna wakati tulisota na maembe ndio ziko Tulikuwa tunakula mchana mbichi na chumvi usiku zenye zimeivaa na maji
2026-07-31 13:37:55
296
orders :
mzae alipanda butternut 5 acres buyer akajitoa midway.
tulikuwa butternut Mpaka red blood cells zikaturn yellow
2026-08-01 14:20:26
161
user7598630054863 :
mzae ashai enda Kisumu aka kuja na omena lemme tell you tulikula omena karibu tugeuke samaki
2026-08-01 08:26:46
64
To see more videos from user @only_in254, please go to the Tikwm
homepage.