@fimbo.ya.musa11: #creatorsearchinsights #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok #tiktokviral

FIMBO YA MUSA
FIMBO YA MUSA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 07:33:57 GMT
279017
10241
521
2244

Music

Download

Comments

estaban_jongwe
Esteban Jongwe :
hakuna ukweli hapo kwanza hakunaga kitu kinaitwa laanaa
2026-07-31 16:13:33
33
beltonwambura
+255 :
laana siku hizi hazifanyi kazi.
2026-07-31 21:57:46
27
gloriettebongwa47
Amanda Richesse :
Tumeachana na sote tumefanikiwa😂
2026-07-31 08:57:07
47
oldschooldude101
Old_Timer Kaabisa🇹🇿🎤🎧🎻 :
Wapo waliokuwa chanzo na mpk leo wanapeta tu
2026-08-01 20:13:25
17
alphoncekomba936
Comfort Chain :
mtu asinishauri kuusu ndoa siowi ngoo
2026-08-01 18:27:06
7
jeije254
jeije254 :
Uongo bhnaa, usitishe watu
2026-07-31 18:09:49
9
ashmeroo
Ashmeroo :
wangu baada ya miezi 2 tu alifutwa kazi kabisa
2026-07-31 10:05:51
7
james66728
James :
Hii imenikuta mm kabisa hadi sasa wajumbe wameshaujua ukweli😀😀
2026-08-06 12:31:53
2
sarif.adam8
valentine :
kweli wallah hujakosea Nina ushuhuda😂
2026-07-31 12:09:12
12
witnessalfred950
kinyangino :
vipi kama wote mtaendelea kuishi vzr na kufanikiwa hata baada ya kuachana
2026-07-31 18:43:37
5
user1167329510217
khadija :
mm nimemfumania mume wangu mara nyingi nikamsamehe nikapata ujauzito nikaumwa sana nikaenda nyumbani kwa wazazi kwenda kuugua nyuma akaleta wanawake niliporud nikakuta chupi za wanawake nikasamehe baadae akaniambia tuhame pale nyumbani tukaishi mbali na yeye nikiwa na mtoto mdogo tena damu yake ili yeye apate nafasi ya kuishi na wanawake wengine nikaondoka nikamuacha pale nyumbani mpaka sasa hajanipa talaka lakin ndoa hamna tena nimekaa na mtotopaka leo hajanipa talaka na maisha yangu bado sijasimama na yeye maisha yake yanaenda na anabadili wanawake kila siku hila maisha yake naona mazur na mim bado najitafuta siekew nipo kwenye fungu gani
2026-08-03 04:44:08
4
odindo40
McOdindo :
NI KWELI KABISA.WALINIACHA WANAWAKE 3 LAKINI MPAKA LEO HAWAJAOLEWA NA WANA MAISHA MAGUMU.MM NINAMSHUKURU MUNGU NAISHA VZR
2026-07-31 21:43:59
10
ndamaomary259
Ndama Omary :
saf
2026-08-02 21:05:26
1
anneti.mave
Anneti Mave :
Amina🙏😂
2026-08-01 14:25:49
1
cathmmy6
Cathmmy :
Amen
2026-08-01 20:40:34
1
bokee6816
bokee :
niukweli
2026-07-31 17:25:34
1
mama.nesh.fridah
mama nesh fridah :
ni kweli nimesundia hio
2026-08-02 18:35:32
1
kizamani_kisasa_barbersh
Kizamani kisasa :
😂😂🤝 kaka duuh ahahah 🤝 una balaaaa sisemi kitu ila una kitu mkuu😂😂
2026-07-31 20:54:23
1
amazing.boda
Amazing boda :
Mungu anachukia kuachana. usiamasishe kuachana.
2026-07-31 20:28:24
9
juma.makame.haji
Juma Makame haji :
kaka nakusapoti ilo lipokweli
2026-08-03 06:58:48
1
sythia362004synthiche
cinthia :
vraiment
2026-08-02 12:36:17
1
user9966326671398
Zena h t :
nikweli kabisa 🌹👌
2026-07-31 16:38:56
1
user9623617623348
user9623617623348 :
Kweli
2026-07-31 23:00:44
1
clarandondole
clara :
upo sawa kabisa
2026-08-01 07:04:43
1
mimabasho
so fine :
mimi sio chanzo lkn sijafanikiwa...sio kweli bna usinitishe bro
2026-08-01 05:52:26
2
To see more videos from user @fimbo.ya.musa11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About