Endelea kupumzika kwa amani mama angu kipenzi nitakupenda siku zote za maisha yangu. Ilaaa😭😭😭😭😭
2026-08-01 08:34:30
7
INTERNATIONAL GOLD HUNTER 💎 :
mwanadamu bola kuwahi kutokea katika uso wa Dunia 🙌🙌🙌🙌 i love you forever my mother wewe ni WA samani sana katika maisha yangu 🙌❤️❤️❤️❤️❤️asante baba yangu kwa kunichagulia huyu mwanamke bola ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🫴
2026-08-01 08:03:41
3
Paul Gasper :
Live
2026-08-01 13:27:40
0
mary munuo :
nampenda sana jamani mamangu🙏🏽
2026-08-01 08:14:56
1
emma :
mamaangu nakupenda sanaa 🥰🥰
2026-08-01 13:25:34
0
zuhuraethan :
mama angu nakupenda
2026-08-01 13:38:35
0
Naomi Nduye :
kweli
2026-08-01 13:55:50
0
Nasra :
enderea kupumzika kwa Amani mama yangu nakupenda sana 😭😭😭
2026-08-01 13:44:59
0
dyana kibauri :
hata baba
2026-08-01 13:57:38
0
Happy Swenya :
Ewe mwenyezi MUNGU naomba nitunzie mama yangu kwaajili yangu mm na wenzangu kwa ujumla maana tunampenda mnooooooooh
2026-08-01 06:25:39
1
chuga :
ispokua wazazi wang uwii nawapenda sana
2026-08-01 12:14:21
0
Loveness Roger :
MUNGU naomba untunzie mama yangu kwa ajili yetu mim na bint yangu🥰