@bango6318: Nina f ya math nikimfatilia uyu jamaa Najiona mjinga nataman nirud shule nikaikomeshe mathematics

BANGO 🦅
BANGO 🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 08:22:20 GMT
171118
5588
374
303

Music

Download

Comments

mashuka_collection_tz
mashuka_collection_tz :
Very complicated
2026-08-01 12:25:35
0
lody873
@0007™® :
mbona nina A ya math apa jmn nilifeli wap🤣🤣
2026-08-01 12:52:56
0
user7127449825949
Linda🦋@🦋 :
Kwa mara ya kwanza leo ndiyo nimelewa math😂😂😂
2026-07-31 22:25:01
239
moreen.gladis
Moreen Gladis :
Hii necta 2014 nilifanya mimi hili swali mbona sikuliona 😅
2026-08-01 06:10:20
60
k_91192
K_911 :
vitu visivyo na faida maishani
2026-07-31 10:00:24
73
romick09
🦋Romick🌹♥️ :
nimelewa mathematics kwa mara ya kwanza😂😂
2026-08-01 06:36:48
33
tin_nana
Tinnah🌸 :
Jamani kumbe ndo Nilikua mjinga kiasi icho😂😂
2026-07-31 19:58:54
49
faswiu063
faswiu063 :
exactly 💯 broo
2026-08-01 09:15:55
0
joyceeded
joyceeded :
😂😂 kwishaaa mm
2026-08-01 07:17:20
0
marthalameck01
marthalameck01 :
Sequence and series
2026-08-01 04:47:47
1
florah.vitalius
Miss mgopa 🦋♥️🧚‍♀️ :
@beingsamweli
2026-07-31 19:31:36
0
gerkutey
GÉRKÜTËY :
42 apoh😂
2026-07-31 10:58:17
17
khadijahramadhan87
MrsMuu :
Sijawahi elewa hesabu mimi kwanza hapo kichwa kimeniuma
2026-08-01 21:27:46
0
nkyastore01
Call me JERA :
mmmmmh!!! ata nikilud siwez fauluuu esabuu😂😂😂
2026-07-31 19:33:23
6
priscangonyani489
priscangonyani489 :
yaaan miaka yote 7 ya primary leo ndo nmeelewa..
2026-08-01 08:17:09
7
fettysinga
fettysinga :
Ingekuwa rahisi hivi ningekuwa nafanya kazi bank sasahiv
2026-08-01 08:37:49
0
itz_pretty_nina
itz pretty nina 😍 :
huyu angekua mwalimu wangu wa math ningekua mbali sana 😂😂😂😂
2026-08-01 12:21:22
4
naa23n
Naa_dr :
kumbe simple hivyo😂
2026-07-31 17:51:01
13
linda87735
linda :
kama ningefundishwa na huyu mwalimu nisingepata F ya maths 😂😂😂😂
2026-08-01 12:30:04
1
kaka.wa.manu
“KAKA WA MAN U” :
Mbona leo math imepanda sana
2026-08-01 18:39:11
2
zyancute
Zyan cute♍ :
huo mwaka nd nimefany huo mtihan lkn sikumbuki kitu yoyote😂😂
2026-08-01 09:42:21
1
ellar106
ELLAR WOMEN SUT :
nanimerudia video mara tatu ata sijaelewa
2026-08-01 08:37:08
2
is_phatjoe7
is_phatjoe😜 :
Ngoja nikupe like ndug yang
2026-07-31 10:49:20
3
user4613355957432
It's veey🦋😍 :
kumbe shida haikua mim bwanaa mathematics ni mchezo wa namba tu😂😂😂
2026-08-01 19:24:03
1
To see more videos from user @bango6318, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About