I pray for my mom apone 🥺 naandika hii ikiwa ni tarehe 1 Agust mwezi ambao tunaenda kuanza matibabu rasm ya mma yangu yalomsumbua for 20yrs nitakuja kutoa ushuhuda inshallah 🙏
2026-07-31 21:04:05
17
🥰💄 :
Leo tarehe 31 mwezi wa 7 nimemaliza mitihan yangu ya Degree nimepitia mengi lakin Nimefika salama huu ni ushuhuda kwangu🙏
2026-07-31 11:12:05
22
Mwali🇨🇩 :
SHARE USHUHUDA wako, ILI MUNGU AKUTUMIE KUWATIA MOYO WENGINE please 🙏
2026-07-31 08:36:02
12
Tracy Aura :
Namshukuru Mungu mim ni mzima wa afya ❤️
2026-07-31 19:45:58
4
🏆🏆TRAVEX DE KHALFA 🏆🏆 :
mtu anaweza asione umuhimu wa Kila jema litokalo kwa Mungu na wakati mwingine Kuna ambao wanakosoa kuwa hayupo lakini tukumbuke Kila binadamu ameumbwa na roho ya kiungu ambayo Kila inapopigwa nyimbo ya kumwabudu Mungu lazima uhisi uwepo wake.......God is great snaaa🙏🙏🙏🙏
2026-07-31 09:03:25
15
levi kimpwanza :
fière d'adorer le seigneur dans nos langues c'est très profond
2026-07-31 18:55:25
1
🎀🎀Jenipher🎀🎀 :
Ahsante Mungu kwa pumzi ya uhai Kuna wengine hawajaiona siku ya Leo sisi tulio iona twasema ahsante🥹 🥰
2026-07-31 11:45:58
5
Glorious 😍 :
amen
2026-07-31 11:16:25
1
ireneshabani7 :
Amina
2026-07-31 08:47:41
2
jixxy jussy :
ushuhuda
2026-07-31 20:36:59
0
hëârtstoppér❤️ :
hakika nashindwa hata jinsi ya kusema lkn naisubl ahadi yake juu yangu 😢😢
2026-07-31 11:00:23
5
MWEBESA_🎭 :
Mungu mwema
2026-07-31 08:45:39
3
🦂💜 :
uzima pia ni shuuda🙌🙌🙌😔😔
2026-07-31 16:08:19
0
TRESOR_JLT :
𝐀𝐦𝐢𝐧𝐚🙏🙏🙏
2026-07-31 08:43:34
1
Madame judia hair 💇♀️✌️ :
Amen 🙏
2026-07-31 08:48:52
3
B L A C I O :
nikiandika sitomaliza..MUNGU anaskia na kujibu maombi..Tusali sana 🙏
2026-08-01 01:55:04
0
Naomi Mwakapala :
Nimejikuta nakufollow
2026-07-31 19:58:46
0
rozy :
Amina
2026-07-31 23:04:56
0
Neema Mwakyonya :
Umenipa ushuhuda 😭😭😭🙏
2026-08-01 01:53:15
0
Madam_promax🌺 :
nan anasikiliza hii sku ya wasichana wenye marafiki tareh 1 Aug 😁
2026-07-31 21:33:35
0
malkia_thechoosen :
Bado ajanipa mm🥺😔
2026-08-01 00:30:28
0
ketsiaks1 :
Amen 🙏
2026-07-31 18:20:18
1
To see more videos from user @christella_mwali, please go to the Tikwm
homepage.