@mzeewamastory: hii si nyumba, ni jumba la kifahari! 😲 tazama video hii mpaka mwisho uone kilichowavutia watu wengi sana. usikose kuacha maoni yako!#fyp #viral #tiktoktanzania #foryou #luxuryhome
mzee_wa_mastory
Region: TZ
Friday 31 July 2026 08:45:11 GMT
Music
Download
Comments
RAPHAEL-NICHOLAUS :
nionyeshe kile chumba maalum ambacho mtu haingii ovyo
2026-07-31 17:27:21
1558
agness :
all in all heshima kwa fundi finishing
2026-09-21 10:37:07
0
Born to hustle 💪 💸🏃♂️ :
Chief godlove is typing
2026-08-23 12:18:17
0
Sophie💚 :
duh kweli had ina swimming pool ndani humo humo
2026-09-20 07:26:10
0
zanihyaah 1 :
uzuri sion tz
2026-09-20 18:45:19
0
ann :
waoo ongela[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-20 14:43:28
0
finegirl@evah💕 :
Mansion
2026-09-21 13:25:44
0
“La Mona “ :
God bless me with this house please 🙏
2026-09-20 10:02:32
0
🦋Tina🦋🥰 :
ata nikipews bule siwezi kulipia umeme🤣🤣🤣🤣
2026-07-31 19:39:29
405
naah💞🔐❤️🦋 :
nina laki mbili siwezi kupata kama hiyo lakn nyeusi yake😂
2026-07-31 11:52:00
301
gurubay :
uzuri mbinguni kilakitu kitawekwa wazi
2026-07-31 15:52:59
854
witnessamwel :
Hata nikipewa bure sitaweza kulipia umeme
2026-09-20 17:46:53
15
ABDUL :
uzuri sote tutalala chini 😂😂
2026-09-17 07:23:49
10
rojathebarber :
maskini tunakoment kuhusu kufa tyuu daah
2026-09-17 16:22:45
16
Nassa :
Kwa mim naona Decorated too much.....
I said for me....nzur lkn ni too much Decorated
2026-08-02 09:24:59
5
Princess 👸 :
Hiv mm na fanya nn ndunian mda wote huu jmn soon hata cha maan ninacho fanya
2026-09-19 12:58:00
5
Edson Nestus :
Ee mungu bariki namm nipatr nyumba ya ndoto yangu
2026-09-20 17:13:03
9
Doreen✨🦋 :
Mbonaa sionii zilee sms na mm najiunganishaa na hizii barakaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-01 07:41:21
48
naomy donard :
ila tukumbuke pia kuwa hapa dunian tunapita tu utakufa utaiacha ko acha sifa
2026-08-01 10:12:25
6
JEREMIAH🗨️ :
huwez amin haya yote tutayaacha daah
2026-07-31 18:50:35
245
Talq momy 123🇹🇿 :
🤣🤣lkn mwisho wa siku wote tuna lala chin ya udogo na vazi la nguo nyeupe nankuliwa na sisimizi tu
2026-08-01 08:30:23
38
Just Shamy 🌹 :
Watu wanasema duniani tunapita, acha kujifariji kwenye maumivu, duniani tunapita ila hakikisha unapita kweli kweli, siyo unapotea🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 13:11:07
22
Official~Catty💎 :
Nyumba bila aman haina maana ndugu yangu😁😆😅😂
2026-07-31 15:20:32
94
abuuahmad :
utaliacha hapa hapa duniani soote tunaishia kwenye tone za mchanga
2026-08-01 16:51:03
6
Chloe😊😍 :
Nyumba ya Nani hii
2026-09-14 06:22:38
7
To see more videos from user @mzeewamastory, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.