@user7717347668185: Siri ya kisomo hiki ikiwa utakifanya kwa nia thabiti ni kisomo hatari mno ipi siri yake ? Suratul tauba ina aya 129 nambari hii ni sawa na jina (لطيف) ila nambari ya siri ya 129 ni nambari 43 kwa sababu (43+43+43) ni 129. Aya ya mwisho ya 129 ambayo ni فَإِن تَوَلَّوا فَقُل حَسبِىَ اللَّهُ لا إِلٰهَ إِلّا هُوَ عَلَيهِ تَوَكَّلتُ وَهُوَ رَبُّ العَرشِ العَظيمِ Hii aya katika siri hii utaisoma mara 129 ukifika hapo na ukitaka upate nguvu zaidi husomwa mara 516. kisha unasoma Suratul Raadi mara 3 ili upate siri ya (129) kupata ulinganifu wa mzani wa nguvu kisha unamalizia na kusoma Wasilatul shafiii ukichukua aya 129 + aya 43 ni 172 na ukichukua siri ya wasilatul shaafii ipo katika nambari (23) inakuwa ni 172+23 =195 👈 nambari hii hujulikana kama nambari inayovunja kanuni za kimaumbile na inasifa ya kugeuza ubaya au kurejesha au kufanya mambo yaliyoshindikana kwa Mwanadamu ila kwa Allah ni mepesi mno ni moja katika mujjarab hatari mno na unaweza kujifanyia mwenyewe ikiwa unahisia unafanyiwa ubaya au uchawi katika mambo yako

Sayyed abuu abdillahil Ally
Sayyed abuu abdillahil Ally
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 08:47:52 GMT
26478
1176
36
199

Music

Download

Comments

pirnally1
sity_ally💞 :
ikienda play store ukiandika wasilat shafii inakuletea
2026-07-31 12:22:50
5
thejackal48
Bui Bui :
Shukran sheikh na je kuna siku maalum na bukhuri zake ni zipi
2026-07-31 10:28:30
1
mechanics_dream
spea za bajaji :
jamani nataka kujua hio dhikri inayosomwa kwenye background,anayejua aniambie
2026-08-01 20:17:10
2
chibbyjobeck
chibbyjobeck :
siku gani nzuri kufanya kisomo hiki
2026-08-01 20:14:04
0
aliin.chamani
salam888 :
nikisoma wasilat shafii nawaona ndugu zangu wote
2026-08-04 10:20:07
0
user24310197081593
user24310197081593 :
asante
2026-08-02 17:51:32
0
muhammad33968
Muhammad :
qabiltu
2026-07-31 22:10:55
0
yassindjawotho
yassin djawotho :
allahu akbar machallah
2026-08-02 02:59:02
0
blou_skdoa
✬ KHALIFA HĀBIYL HAMDĀNIYYAH ✬ :
الله يبارك فيك.
2026-08-13 20:40:10
0
mudricky6
Mudricky :
shusha nondo babaaaa
2026-07-31 18:19:25
0
oldfriend.07
oldfriend.07 :
Subhana maalikinnasi
2026-08-01 06:50:04
0
amiribega343
Amiri Bega :
bukhuri zake ni nini
2026-08-02 00:01:00
0
idaty21
Bint Yussuf :
nimejitahidi kusoma maelezo ila sijaelewa🥺🥺🥺
2026-08-01 05:43:19
0
makameali5
siyangusiyangu :
shukraan
2026-08-01 20:53:39
0
qweensiha0
qweensiha :
Nahitaji namba
2026-08-12 18:37:11
0
j488288
j4 :
Asalaam aleikum sheikh wapatikana wapi?
2026-07-31 16:26:48
0
azina.kitery
Azina Kitery :
Alhamdulilah Allah akuzidishie kher
2026-08-01 09:13:56
0
mechanics_dream
spea za bajaji :
mbona kila nikisikiliza naanza kuzikiri na kucheza
2026-08-01 20:13:48
0
mireta_1
Mireta :
Shukran sana Allah azidi kukupa uwezo wa kujuwwa na sisi uzidi kutusaidia
2026-08-04 07:04:08
0
amili123450
amili12345 :
@amili12345:Les 99 nom d’Allah: Ar-Rahman, Ar-Rahim, Al-Malik, Al-Quddus, As-Salam, Al-Mu'min, Al-Muhaymin, Al-Aziz, Al-Jabbar, Al-Mutakabbir, Al-Khaliq, Al-Bari, Al-Musawwir, Al-Ghaffar, Al-Qahhar, Al-Wahhab, Ar-Razzaq, Al-Fattah, Al-'Aleem, Al-Qaabid, Al-Baasit, Al-Khaafid, Ar-Raafi', Al-Mu'izz, Al-Mudhill, As-Sami', Al-Baseer, Al-Hakam, Al-'Adl, Al-Lateef, Al-Khabeer, Al-Haleem, Al-'Azeem, Al-Ghafoor, Ash-Shakoor, Al-'Aliyy, Al-Kabeer, Al-Hafeedh, Al-Muqeet, Al-Haseeb, Al-Jaleel, Al-Kareem, Ar-Raqeeb, Al-Mujeeb, Al-Waasi' Al-Hakeem, Al-Wadud, Al-Majeed, Al-Ba’ith, Ash-Shaheed, Al-Haqq, Al-Wakeel, Al-Qawee, Al-Mateen, Al-Waliyy, Al-Hameed, Al-Muhsee, Al-Mubdi, Al-Mueed, Al-Muhyi, Al-Mumeet, Al-Hayy, Al-Qayyoom, Al-Waajid, Al-Maajid, Al-Waahid, Al-Ahad, As-Samad, Al-Qaadir, Al-Muqtadir, Al-Muqaddim, Al-Mu'akhkhir, Al-Awwal, Al-Akhir, Az-Zaahir, Al-Baatin, Al-Waali, Al-Muta'ali, Al-Barr, At- Tawaab, Al-Muntaqim, Al-'Afuww, Ar-Ra'oof, Maalik-ul-Mulk, Dhul Jalaali Wal-Ikraam, Al-Muqsit, Al-Jaami', Al-Ghaniyy, Al-Mughni, Al-Maani', Ad-Daarr, An-Naafi', An-Noor, Al-Haadi, Al-Badee', Al-Baaqi, Al-Waarith, Ar-Rasheed, As-Saboor 🤍🤲🏾
2026-08-01 19:02:03
3
mohamed.al.abry
mohammed alrashdy :
wasilatul shafting ndio ipi
2026-07-31 10:03:57
0
al_mujarrab_3126
المجرب _👑 :
👌👌👌
2026-07-31 13:30:25
0
To see more videos from user @user7717347668185, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About