@khanmusichq_: Mwanza, King Khan Has Officially Landed! Baada ya kuwasili, moja kwa moja kuelekea kukagua eneo #clubelevate_tz na kuenda kukutana na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mh.Amir Mkalipa. Sasa maandalizi yote yanaelekea kwenye usiku wa kesho! Tukutane kesho #clubelevate_tz Malaika Beach Resort #DJClubTour. Save your energy...