mume wangu akiniuliza hili swali hana bahati ntasema yote😁
2026-08-07 18:23:54
17
pretty d 402 :
my husband tunapiga story mpaka saa 6 usiku tutawasema majirani wote tutaanza story za wasanii ndugu pia tutawasema wote 😅😅😅 wambea hatar ss mungu akupe atupe maisha marefu 🙏
yatima wa mapenzi ni like apa urudi kutafta video nyingine😂
2026-08-01 21:11:20
30
Emmy Ethan🍎🦋 :
Anae mwingne wa kupga nae story mwaya
2026-07-31 20:17:55
30
𝗽𝗿𝗲𝘁𝘁𝘆 𝗹𝗶𝗼𝗻𝗲𝘀𝘀 🦁 :
nikiongea 😂😂 wangu tutaachana
2026-08-07 18:58:02
1
joy🥰 :
umeongea point mwaya 😊
2026-07-31 19:40:43
10
Irene Issangya :
😳😳 Mungu kama mimi samaki nirudishe baharini
2026-08-06 19:04:59
3
Priscah.tz :
kumbe tupo wengi atupend wanatuzoesha afu wanatuacha mataa😁😁
2026-08-03 22:24:14
9
Ruwaisha :
Cku zote mwanamke anaamini Yale unayomfanyia kipindi hujamuoa ndio utamfanya ukimuoa,akiyakosa anahic mume kabadilika n kuboeka n Uyo Mme kabisa
2026-08-05 12:49:01
5
levinaeruman levinaeruman aaaa :
dad Kila penzi litaonja umaut
2026-07-31 20:45:28
20
Ali Ravin :
Kwa kwely mwaongea Vitu vya maana sana
2026-08-01 14:55:46
1
mamkwe shirima :
mimi wangu huwa na muulizaga kwanini kipindi hatujaanza kuishi wote mbona hukuwa hivi maana amebadilika amekuwa mtu wa kunigeuzia mgongo na wakati tunatembeleana naenda kwake ni kuni kumbatia usiku mzima lakini sasa tulivyo anza kuishi wote sasa namisi vitu alivyo kuwa ananifanyia mpaka mda mwingine nawaza kutokanje kwasababu naumia sina amani
2026-08-03 09:05:25
10
✧it's me♥╣ :
🤣😂😂 nyie wenyewe si mnaona mpka sasaivi nipo online ndio stage nilionayoo kwa sasa
2026-07-31 22:26:07
6
Salome Jd :
hata wangu saiv napga story namkuta amelala me sipendi woi😏😂
2026-08-06 19:35:50
0
mariam kamuga :
iyo nikila mwanUme
2026-08-05 13:53:16
2
Salima :
moja kwa moja status wahtap 🤣
2026-08-06 12:48:47
1
user3277001936097 :
nimpate wapi wa kuniuliza kipi hupendi kwangu
2026-08-05 16:34:14
0
winlogan001 :
😁simnaona ukishaingia kweny ndoa mamb yanabadirik
2026-08-05 18:58:26
3
To see more videos from user @traveltv_og, please go to the Tikwm
homepage.