hahaha mi nilikua nawez kupig scouts wot wa xhule wakiniona tu champion 🦾🦾 mpk matechear
2026-07-31 21:34:55
0
HASHEEM :
Naomba uniunge kwneye vita😂
2026-07-31 15:25:12
96
Ray Mwikuka.( AmazingVoice24) :
Scout wapuuzi sana, niliwahi kua Head Boy, wakapanga uasi dhidi yangu wakataka kuni pindua😁😂
2026-07-31 17:10:01
51
Dr. Ngowi :
Form 1 na form 5?
2026-07-31 13:18:11
16
Shomy_arts :
aaaah mm sina hamu nao
2026-07-31 12:09:43
20
punisher14# :
nilipiga fantastic revenge
2026-07-31 16:48:10
2
MeecH :
unamjua chidy mwinyi wewe😂😂
2026-07-31 11:26:20
31
guardian angel 😇 :
this is really life situation apply in different angles 😂😂
2026-07-31 11:07:57
10
Khuzze Og mobile :
usiwakute kwenye matukio ya shule mda wa kula😅😂😂
2026-07-31 17:47:44
14
bravoo663 :
🤣Mm apa math ndo ime lala umetishaaa
2026-07-31 12:16:21
2
UGA KID•••$🫰🇩🇪 :
jina lá movie please...
2026-07-31 21:03:08
0
country_kiddy :
Netto jau😂🙌🏽
2026-07-31 17:36:55
2
MAGUJA FINEST :
back then kuna shule ziliwapa nguvu sana scouts wakasahau kwamba wanajenga daraja kwa scouts na walimu huku wanajenga ukuta kwa scouts na wenzao mara nyingi mwisho wa scout members haukua mzuri sana
2026-07-31 13:11:57
12
FATHER AJ FROM TUNGI :
form one niliskia scout wanapika wali kila ijumaa
mnapiga tizi saa saba had kumi na moja jion
Halaf mnapiga pilau, nikajiunga baadae wakaanza kuchangisha jero jero na mwanangu solomon tukapotea🔥🔥🔥
2026-07-31 17:54:40
5
Haruni masesa :
acha kutusinginzia bn
2026-07-31 16:43:02
3
Yõung F¡ññëst :
Kweli kaka daah mi nishawahi kuwasema dom pale siwakubali japo wengi walikuwa wanangu ila walikuwa wanajua siwakubali😁
2026-07-31 18:52:37
2
Allie ben romdhane :
walikua wanajikuta wanajesh
2026-07-31 17:36:02
4
عِمْرَان🤍 :
minilikuwa Asistans head boy
2026-07-31 20:17:55
1
Tete boy :
Hahahahaha noma sana
2026-07-31 17:07:39
3
. :
sema huyo Neto Nime mmind
2026-07-31 21:07:58
2
rocker :
alikuwa hatak uharibikiwe ndugu yake🤣😂
2026-07-31 18:57:44
3
Divine :
Daah kina japhet kaka 😂😂
2026-07-31 12:42:32
4
Director chambuso :
Bro scout watu safii😂
2026-07-31 16:06:44
4
To see more videos from user @trust_mebro0, please go to the Tikwm
homepage.