@gideonimathew: Machalii wa chuga, laiti mngejua mnavyowaumiza wazazi wenu mngeacha kuhangaika na piki piki mngepambana na maisha na sio kila unachokiona unapaswa kukimbizana nacho, nenda kwenye YouTube channel yangu upate madini andika Gideoni Mathew twende Sawa #Gospel #mirerani #shuhuda #Injili #israel

gideonimathew
gideonimathew
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 10:54:33 GMT
187501
21247
978
636

Music

Download

Comments

mzinzasafi20
MWOZO GIT mzinza safi🫀 :
Wacha niitwe mshamba tu haina noma lakini ngoja nijaribu kupunguza vitu visivyo vya lazima kwenye life langu
2026-07-31 11:20:44
1176
abuubakar.mfinang
Abuubakar Mfinanga :
leo kwa mara ya kwanza umeongea point
2026-07-31 13:00:37
682
lesher.mayele5
Rare_Miss lee💎👄 :
Huwezi ongea point hivi nisiku follow 😍🔥🔥
2026-07-31 13:24:48
540
edwardkavenga3
it's eddyme 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 :
Mbona kama umelewa mtoa ushaurii wangu😅😅
2026-07-31 17:45:22
186
chuga.arusha
MAMENI CHUGA :
brother nikuambie kitu hawa watu hawawez kuelewa mjomba angu
2026-07-31 12:59:47
275
user1433279800055
. :
Big point broo
2026-07-31 12:31:34
2
saadissa06
sult~06🥷 :
✊💯fact bro
2026-08-01 04:24:30
1
robartluley
rk :
ase brooo umeongea fact sana na hongera
2026-07-31 17:37:30
294
vennyshayo1
@vennySHAYO :
hayo yote ni kutokana na umri ukishapita wataelewa tuuh💯💯
2026-07-31 13:05:50
95
michael19920113
Jminko :
Brother,asee kwanza naku respect,umeongea vitu muhimu sana,una moyo mmoja,uishi maish marefu
2026-07-31 12:43:08
77
ellycruezy
Eddo :
uyasemayoo ni kwelii lakin achaa dunia iji balance
2026-07-31 17:28:57
72
david.naphtal7
David naphtal :
powerful point
2026-07-31 17:44:06
3
machiga36
UNI 😂 :
Brother gideon 🫂
2026-07-31 12:24:01
3
karimakida561
official_hustler :
tumeelew broo
2026-07-31 17:18:04
4
isaya.tz90
Isaya Tz :
on point 🤞
2026-07-31 13:18:23
3
user215255161747
Creature :
tatizo ujana
2026-07-31 17:35:07
21
fadhilimachaa
machaatz :
waombee mkuuu
2026-07-31 17:45:49
35
juniorki97
kind jrj :
BROO UMEONGEA KWEL KABISA 😌
2026-07-31 19:15:47
55
lazaromary475
Marymary :
Leo nimepata mtu wa kunisaidia kuongea 🙏🫂❤️
2026-08-01 04:22:16
18
nailaalphat5
Nairath Regojr🩷🩵 :
ujana una mwishoooo tusijisahau
2026-07-31 11:13:09
32
idrisjaffary
idrisjaffary :
Bora ata ww umeongea maana mi nawashangaa adi nachoka yaani
2026-07-31 14:09:39
28
isanchu_jr
isanchuTalks :
Elimu nzuri sana, usichoke kuongea brother.
2026-07-31 11:47:54
34
nashdamshi
nashdamshi :
Hii kwelii🥹😢
2026-07-31 21:34:51
7
pallangyo95
𝙂𝙚𝙣𝙚𝙧𝙖𝙡 𝙎𝙖𝙢 👑 :
fact mkubwa
2026-07-31 13:12:17
10
chugaboy296
Chuga Boy :
uhakika father ila machalii kuacha rally uongo mkuu 😌
2026-07-31 13:28:29
64
To see more videos from user @gideonimathew, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About