@amrisaly: For learning purpose only, Angalia chart ya EURNZD kwenye 12H na 4H, kulikuwa na price levels A, B, C, D, E na F, Sasa swali ni; Kwanini mtu uwaze kuacha ku-trade kwenye level zote hizo, hata level zilizokuwa juu yake, halafu uende kusubiri kuchukua trade kwenye specific level ambayo nilielezea Jumatatu kwenye Weekly Market Breakdown? Hii information ni muhimu sana kwenye kupungua losses, Traders wengi kutoka price level A mpaka F wanakuwa wanakusanya losses tu mpaka kufika kwenye hiyo price level halisi ya entry wanakuwa hawataki hata kuona kitu kinaitwa charts, Hii ni weekend quiz ambayo tunakuacha nayo, ukienda kwenye chart yako ukaangalia kwa umakini mkubwa, utakatafuta right information na kuzielewa kwa kina kiasi cha kuweza kujiibu hii quiz utakuwa umeongeza kitu kikubwa sana kwenye uwezo wako wa kufanya technical analysis, Lakini pia kama unataka kuelewa logic behind every trade we take, kwa nini maamuzi kama haya yanafanyika badala ya kukariri entries tu, secure seat yako kwenye IFX 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, Utapata access ya; • Foundation Course • Advanced Technical Analysis Course • Trading Psychology Course • Risk Management & Numbers Training • Prop Firm Masterclass • Bootcamp Series (previous & current) • Accelerator Program • Stock Market Masterclass • 45 days Live Streamed Classes • Community ya traders serious • Access to material, resources and tools Kwa zaidi ya 80% discount tu, yani instead ya 4M+ unapata vyote hivi kwa 995k tu, Reserve seat yako sasa kupitia WhatsApp: +255 625 554 222, Kwani nafasi zimebaki chache sana na previous bootcamp tumefanya zaidi ya miezi 18 iliyopita, the same after this bootcamp itachukua muda mrefu sana kufanyika bootcamp nyingine, Take your trading to the next level.
Amrisaly
Region: TZ
Friday 31 July 2026 10:57:28 GMT
Music
Download
Comments
wizzy :
hiyo kitu nikama betting tu😂
2026-09-14 21:44:22
5
Chandara Mgesi :
bro nisaidie mdgo wako hichi nikitu ninachokipendq sana
2026-09-10 14:44:16
0
chief_mzabanga :
WATANZANIA USIJE JARIBU UTALIA PEKE YAKO UKIFAIDISHA WATU
2026-09-13 06:23:54
4
TARANTA_NBA :
😁😁😁kaka haukukosea nilifany kam ulivyosem hapo na tumeipat hy move till week hii imeish😁😁😁 kaka
2026-08-02 06:13:32
5
machomita100 :
iyo smart board naihitaji any one with the clue nijue naipata wapi
2026-09-15 06:33:53
0
Went Extinct :
sijawahi kuelewa kitu
2026-09-20 17:56:05
0
Jumisa Jar :
kaka vip mtu akiwa mbali atanufaikaje na elimu Yako?
2026-09-11 16:24:31
1
Terlvin Pima Jr. :
saaaa inatofaut gani na aviator ? 😁
2026-09-08 10:55:37
2
Samwel Kavishe :
Yani izo ramani apo ndo zinawafanya mjione wajanja 😁😁
2026-09-10 15:15:56
1
#40kipaji :
matapeli tu
2026-09-15 11:15:15
0
Petro_Classic_Wear :
asa si ndo aviator tu hyo🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 22:43:42
1
Mahenge Jr4 :
🔥🔥🔥
2026-07-31 11:46:21
3
KAI :
🔥🔥🔥
2026-09-15 18:27:28
0
To see more videos from user @amrisaly, please go to the Tikwm
homepage.