@mahrayn_official:

Mahrayn_official
Mahrayn_official
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 11:09:16 GMT
112966
4548
143
102

Music

Download

Comments

saifsaify20
saifsaify20 :
Kuna rafk yngu ananambia huu mfunguo 3 wa juzi walikuwa hijja pamoja na chumba kimoja,kafanya hijja yote na km kiongozi,walipokuwepo makka ndio alianza changamoto y kuumwa kwa joto kali .alikua akimwambia mara kwa mara kuwa somo naumwa najikaza tu.ila wamerud salama.allah amsameh makosa yke
2026-07-31 18:01:39
54
dear.lord605
dear Lord :
Allah mrehemu mwalim wetu kipenz ya rabby masamehe madhambi yake amiin 😥😥
2026-07-31 13:49:48
41
khaled_hd27
Khaled_HD👑 :
Mungu amlaze mahala Pemba pepon Amin🥹🥹🥹
2026-07-31 13:53:19
27
nassor.said8
@Name :
amin amin
2026-08-01 05:40:51
0
muniboyabdalla
MUNI BOY :
ALLAH AMSWAMEH MAKOSA YAKE AMJALIYE KAULI DHABIT NASI ATUJALIYE MWISHO MWEMA
2026-07-31 18:50:08
12
kmp693khmc
kmp693 :
Inna Lillah Thabbatallah bikully Qauly thaabit inshallah
2026-07-31 18:07:49
0
user1888687733365
Aisha fadhili🥰 :
inna Lillah wainna ilyhi rajoon
2026-07-31 21:26:50
0
haimal17
haimal :
Allah amps kaul than it mwalm wetu
2026-07-31 19:18:06
5
hussnaothumanbaka
Hussna othuman Bakar :
Amin Amin Amin
2026-07-31 14:14:01
0
humoudhdsaleh
Humoud HD Saleh :
Allah ampe kaul thabit na msameh mazamb yk yasiri na yadhahir Ammin 🥺ndio shekh alio niozesha pia aliniachia zawad y mashairi mazur
2026-07-31 18:43:05
6
asya.hamad6
Asya Hamad :
namjua si mwalimu mkuu wa CCk unguja
2026-07-31 13:16:34
6
habibty2484
HABIBTY,🥰🌹 :
sie mwalimu Ali huyo
2026-08-01 05:01:17
2
user6883925836153
Bhai lee :
nani alikufa apo
2026-07-31 18:45:08
1
hassanatali3
sasha :
Jana Alhamis
2026-07-31 14:10:17
3
madam_samha_collection
Madam Samha Collection :
inalilah wainailahi rajion
2026-07-31 17:59:08
3
amour.juma
Amour Juma :
subhanallah innalillahi wainna ilayhi rajiun
2026-07-31 13:40:36
3
mansiiz0
mansiiz :
alikuwa mpole skuli hatupigi allah akujalie her akupe makaz mema peponi
2026-07-31 13:46:11
10
nashathussein8
nana :
Allahuma ghulafu warhamhum waskanha filjana
2026-07-31 19:49:07
2
annuh644
Annuh :
Innalilla wainna ilyhi rajiunn
2026-07-31 20:04:33
2
hussein.ramadhan90
Hussein Ramadhan :
bwana harusi umepata history nzuri kupitia ustadh wetu
2026-07-31 20:06:47
0
user53651882931468
Nanah001 :
Huu ni msiba mzito kwet hakua mwalim tuu alikuwa km bab katik mamb ya kher allah amsamehe makosa yake na amjazie nur katik kaburi lake
2026-07-31 18:41:39
4
ablasuu
mrs Adam :
hakika kifo kina tutembelea jmn😭 Allah afanyie wepes kwenye safari yake ya tatu ampe kauli thabit amtanulie kabr lka na sku zot ya maisha yak mapya
2026-07-31 17:59:03
2
user196904127819
Mama🥰 :
Allah amfanyie wepesi katika safari yake
2026-07-31 13:49:55
2
shaame.ali2
Ali S.K zanzibar :
Allah amfanyie wepesi
2026-07-31 13:27:43
0
munsir.salum9
Munsir Salum 🇹🇿 🇨🇦 :
Mungu ajalie safari njima amfungulie milango ya pepo yeye pamoja na sisi
2026-08-01 00:32:38
1
To see more videos from user @mahrayn_official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About