mimi mama angu aliambiwa yaan utakaa nyumba za kupanga mpaka uzeeke 😭😭😭 amini mungu bi mother angu nimemnunulia kiwanja two millions bado kujenga hapa mwezi wa kumi na moja navunja vikoba namjengea japo vyumba viwili 🥰🥰🥰
2026-08-02 11:30:50
12
ICONX🔒🔨 :
Tumuoneataishia wap atateseka mpaka kufa💔💔💔💪💪🫂 but im still a live and never give up
Mm Sina wazazi nikikumbuka niliwaomba baba zangu wakubwa wanilipie ada ya chuo wakasema hawana watoto wa kusomesha imenifanya nipambane now na mshukuru mungu nimehitimu
2026-07-31 19:55:55
20
Miss🧕Chumu💋🥰chaupole🤌🥰 :
Atarudi tu huyo ngoja tuone 🥹
2026-07-31 15:18:46
21
Reine🌼 :
Sina hadhi ya kua na ww 😂😂
2026-08-02 11:44:15
1
Mongenice🥰🥰 :
ngoja tu nipambane 😭😭😭 sitaki kuongea sana
2026-07-31 12:25:03
9
Robert Richard :
wow 👌
2026-08-01 00:16:15
2
mons_paul :
huyu alikuwa wap au alikua atokei kweny simu yang 2😁😁
2026-07-31 17:47:54
8
Rightone_lyrics :
usinitafute mpaka nikutafute mm.
saiz imegeuka milele
2026-08-01 15:58:49
2
Ayaan💪💪💪 :
Dada nimekumic sijakuona muda
2026-07-31 20:34:11
3
Dj benny :
daaa kitambo toka tumeachana corina duuu
2026-07-31 21:07:23
3
Its Cathy♓️👑 :
Dah😔inanikumbusha maisha ya familia yangu nikiwa mdogo 🥹💔 M/Mungu azidi kunilindia mama yangu tu ❤️najua ipo siku 🙏
2026-08-02 07:10:48
7
dear anna :
tuone watafika wapi💔🥲🥲💔💔💔💔💔💔
2026-07-31 21:10:16
3
To see more videos from user @lydiamarley6, please go to the Tikwm
homepage.