wanaume wenzangu, tunao ishi maisha haya gonga like hapa, tujuwane
2026-08-02 04:22:58
63
luox_phones :
ni kwelii kbsaa😂😂 peace of mind is everything
2026-08-05 09:36:38
2
Mr.Nasry🤓👊🏼 :
Mbona sioni comment za Wadada hapa wameenda wapi 😂😂😂
2026-08-06 07:25:13
2
international🇺🇸🇹🇿 :
familia tujuanee hapaa..👍
2026-08-02 05:16:09
21
ragitaagostino :
Nililiewa hilo mapema nd maan naixhi mwenyew na umeeleza fact kbs
2026-08-07 05:02:09
4
pauljr :
Always happy and enjoying the moment👏
2026-08-01 12:11:35
6
Kizito Kamoga :
ni mimi hapa nasiwazi kuoa
2026-08-10 19:57:55
2
el Chapo ink tattoo :
I am me
2026-08-03 17:22:39
2
Msafi 4lil :
nina mademu watatu mmoja alisema anakuja jmos nikasema kuna kaz nafany mwngine akanichek j2 nikamwambia niko bize kdg lakin sku zote hzo sikuw bze wala sikuwa na kaz ya maana nlikuw nataka kukaa pekeangu yaan kucheki movie,kucheza game,mazoezi kwa sana kula kulala mziki sana yaan sitaki kampani mpaka nikawa najihisi labda ni ugonjwa
2026-08-10 08:32:44
1
michaeljo49 :
uyu dada kaongea vzr sana sana sana
2026-08-01 14:16:12
7
katemnyama :
ndy sababu zinatufanya tuish pekee yetu kwel sahihi umesema
2026-08-07 11:25:45
2
GstarBoyNgosha :
sasa mtu kila siku niko safarini nishazoea kua pekeangu. na naenjoy kuwa huru Mana nilishampa mtu nafasi akanivuruga.
2026-08-01 06:19:56
8
URASSA NIZAR :
Nina 40 na still natamani kuwa na MKE ila naona mahusiano ni ndoani Bora along km hutaki makelele.
2026-08-03 16:43:10
6
ZACKY BOY 28! :
Yani amenisemaa mm kabisaa kama unafanana na mm nikujuwee hapa like.
2026-08-02 22:55:48
2
user35856145223914 :
Yaani huyo ni mimi kabisaaaaaaaaa!!!! Mimi nimezoea kujitegemea
2026-07-31 21:12:08
8
user3616317856230 :
daaaahhh!!!! Umefirikia sana wanaume wengi ambao tupo single umelenga mule mule
2026-08-01 17:31:24
6
G. :
Maisha magumu sana,
2026-08-03 08:48:22
2
yunusmbila :
nice
2026-08-06 22:58:18
1
jackshow :
Ni mimi kabisa yalio ongelewa
2026-08-02 06:55:58
4
chelwa :
duuuuh umeongea point sana aki
2026-08-02 11:43:36
2
user2998192873887 :
That's me
2026-08-02 15:44:53
2
meckgodfrey :
wote ndo tuko ivi kweli🤣
2026-08-02 12:23:45
2
dany Bou non job non money💵💵 :
wow tuko pamoja kwa hiyo binti yng 👍👍
2026-08-05 06:19:43
1
To see more videos from user @missrolicious, please go to the Tikwm
homepage.