@mathias.canal: Dodoma...! Niliwahi kumsikiliza Mchungaji Antony Lusekele akisisitiza jambo moja lenye thamani kubwa maishani. Alisema usikubali kumpoteza mtu mwema, Mtu aliyekutendea wema ni zawadi ambayo si rahisi kuipata tena. Linda mahusiano mema, thamini wanaokusimamia kwa upendo, na usiruhusu kiburi, hasira au makosa ya muda mfupi vikakuondolea watu wenye thamani katika maisha yako. SALA na KAZI

Mathias Canal
Mathias Canal
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 11:55:24 GMT
87946
3475
102
39

Music

Download

Comments

12beatrice
Beatrice❤️ :
Watu wema tunaongoza kwa kuumizwa…ni sawa ila tusisahau kunywa maji yakutosha.🙏
2026-08-03 19:35:24
10
pendolukobalo0
Mama b&E :
bora wewe ambae unakumbuka hayo heli wenye moyo safi watamuona bwana
2026-08-01 09:25:06
10
melareen8
Lioness Ree🦁 :
🫰crock it
2026-08-01 16:23:23
1
geeh30
Gee Joh :
Siku hizi kuwa mwema ndio sio vyema
2026-08-02 10:11:40
4
user9345340785425
rashda, :
umenena vyema
2026-08-06 12:40:53
2
katoto.dadaz
la family :
mara nyingi mtu mwema unaishia kujuta🥺
2026-08-01 19:18:42
4
user3627683796197
user3627683796197 :
Ni kweliii kabsaa🙏🙏🙏
2026-08-02 18:59:08
1
happy.daudi42
happy daudi :
ubalikiwe mtumishi
2026-08-02 08:06:41
1
bbymode4a
bbymode ❤️ 😍 :
kwelii
2026-08-01 07:00:37
1
mamaaainchrist8
MamaaainChrist :
Umenena vyema ila siku zote uzuri wa kitu unaonekana ukiwa tooo late ushakipoteza kikiwepo unaona Cha nini Mungu tusaidie 🙏🙏🙏
2026-08-01 07:24:29
4
user9140338790407
Fasna :
BEATRICE umeongea point sana madamu
2026-08-03 21:44:55
2
msopah24
Peach rene💟🤍💁‍♂️ :
say it loud
2026-08-02 05:48:48
1
user551238349902
janegervas@ :
Amina
2026-08-02 05:13:31
1
dafroza.panchian
Dafroza Panchian :
pole kikubwa Mungu ndiye mfaliji
2026-08-03 09:34:06
2
greymorious
Greymorious :
Ameen mungu atupe nguvu
2026-08-02 06:01:21
3
halimaabdalah29
Ashuu Abdalah :
sawa
2026-08-01 16:37:27
1
lola.cute97
mom😍&Daughter💋👑 :
chuo changu cha mtumba
2026-08-02 19:30:58
2
flora.ringo7
floraringo0 :
Wema wa Mungu hauelezeki.
2026-08-01 18:21:14
1
mg_hawk23
Hawk_23 :
Shida wengine tunawaita “WEMA” ila ni malaika wanatutoa pagumu na ghafla wanapotea huwezi kuwaona au kukutana nao teena katika maisha haya🙏🏾
2026-08-02 20:11:22
5
doric5750
Doric ♐ :
Heri wenye moyo safi
2026-08-01 16:25:31
1
naetwemmbaga2
Nisha :
Natafuta kazi nipo Dodoma
2026-08-02 11:56:35
1
wami490
stev wami :
veema
2026-08-01 12:34:59
1
user646328262
[email protected] :
kwakweli
2026-08-01 03:51:41
1
mseminaryt
BabaWaMataifa. :
Amina Boss
2026-07-31 22:22:36
1
kin13589
Kin :
A thankful heart 🙏🙏remain blessed
2026-07-31 21:50:35
1
To see more videos from user @mathias.canal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About