@dokaa89: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tarehe 31 Julai, 2026. #viral_video #fyppppppppppppppppppppppp #sisinitanzania #kazinaututunasongambele #fypage

Dokaa
Dokaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 11:59:48 GMT
2800
54
4
3

Music

Download

Comments

victoria.gl20
Victoria GL :
bravo, hopeful it's our dream liner 787-8 flight
2026-07-31 12:43:45
0
irshaduhuru
Irshad Uhuru :
mmmmmmmmmmmmmmh
2026-07-31 20:25:35
0
mama.kimbo1
mama kimbo :
Mungu akulinde mama yetu
2026-07-31 18:37:45
0
To see more videos from user @dokaa89, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About