@miraji.buda: aliemuelewa anielekeze kiswahili kigum jamaan... 😂😂😂😂😂 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokkenya🇰🇪

miraji buda255
miraji buda255
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 12:01:24 GMT
4089
161
52
5

Music

Download

Comments

shabani.hasani.sa2
akili mbaya🇰🇪🇹🇿🇺🇬 :
samiah
2026-08-01 00:33:32
0
jimmykinggmail.com100
ob king@ young erephant@ :
hamna simba apo nisiasa hiyo kaka pambanua mambo
2026-07-31 19:23:09
2
user2939998747939
daudi :
Anaongerea Samia Lisu Heche na Nchimbi
2026-07-31 19:17:18
1
gladiola.paschal
Gladiola paschal :
anaeleweka mbona
2026-07-31 19:30:19
1
merdboy
Merdboy Maalum :
Kama haujaelewa tulia
2026-08-01 03:31:39
0
user2532967234710
dickson :
dogo yupo vizur apo kamaanish ccm chadema na raia
2026-08-01 03:09:06
0
dicksonimasala
KING MASALA :
sasa wenye D2. apo tujuane
2026-08-01 01:59:16
0
ibrahim.lukanda.n
Ibrahim Lukanda Ngeleja :
wewe mungum kuelewa sisi wazalendo tumelewa ni chadema na ccm
2026-08-01 00:49:16
0
denisalex17
Denis alex :
Uyo anaongelea mambo ya siasa
2026-07-31 22:29:06
0
simnrepublic
Simn"Republic :
mmh huyo mbona hata me nimeshindwa kumwelewa
2026-07-31 12:39:01
0
keajuma877
Kea Juma :
kaongea wananchi rais na makam wa rais na ccm
2026-07-31 22:19:43
0
visonjov43gmail.com
[email protected] :
ameongelea siasa
2026-07-31 21:55:05
0
daniel.nyamagara
Daniel Nyamagara :
me nimemuelewa
2026-07-31 21:23:10
0
user3511576811485
Jay... :
kwa heshimaaaa.😂😂🤣
2026-07-31 21:21:38
1
innocent.juma71
Innocent Juma :
kaongelea chadema kocha nilisu wachezaji nichama chachadema ssm ilishindq uchaguzi
2026-07-31 20:47:26
0
issa.hamisi772
Issa Hamisi :
katiba mpya
2026-07-31 21:14:29
0
yuzzmaniger
maniger yuzzo og :
bila shaka anaongelea sias
2026-07-31 20:20:33
0
athumani6139036200791
athumani6139036200791 :
🇹🇿mitano tena
2026-07-31 19:30:20
0
hussen2995
hussen2995 :
😅😅😅 nimecheka kwa vibaka
2026-07-31 12:47:25
0
rastaman2776
Batili2776 :
Hapo kamaanisha ccm na viongozi wao mwinge tupganie katiba wengine Ila tuishie Hapo kaka 🤝
2026-07-31 20:36:01
0
evelius.hussen
evelius.hussen :
mbona anaeleweka san tu tunaogopa kupanda mitandaon nakueleza ukweli tukapotezwa
2026-07-31 18:12:10
0
solomonmwakabana
Solomon Mwakabana :
nimemuelewa
2026-07-31 16:33:43
0
ibrandmsami
Ibrand msami :
apo kagusa ccm warivyo ongeya kusu katiba mpy na kusu wachungaji ni kina mwamposa
2026-07-31 14:21:29
1
johnchumvi739
Mwenyekiti :
Nyinyashindwa kwelewa 🤣🤣🤣
2026-07-31 23:40:28
0
jaivahstar27
jaivah star :
mchawi D 2🤣🤣🤣
2026-07-31 16:52:11
1
To see more videos from user @miraji.buda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About