@bongofive: Kesho tarehe moja August ni siku ya marafiki wa kike Girlfriends Day na tarehe 3 ni siku ya Boyfriends Day. Swali ni kwamba: mara nyingi tunaona wanawake wakipeana zawadi wao kwa wao kama ishara ya urafiki na kuthaminiana. Je, wanaume nao wanaweza kufanya hivyo hivyo kupeana zawadi kama marafiki, kuonyesha heshima na kujali bila watu kuona ni jambo la kushangaza? 🎤…… @cathed__
Bongofive
Region: TZ
Friday 31 July 2026 13:14:55 GMT
Music
Download
Comments
moj2555 :
Kuna moja imesahaulika hapo august 27. It’s my birthday guy🥰🥰🥰🥰
2026-07-31 17:04:58
7
T®️IPUES :
Mbona zamani hizi mambo zamani sikua nazisikia kabisa😁😁😁
2026-07-31 15:33:16
4
Mrs. Ibra :
ongeza na birthday ya mwanangu na babake wote trh na mwezi mmoja 8/8
2026-07-31 17:53:09
3
🌹Ray🌹 :
nani kaandaa iikarenda
2026-07-31 14:04:45
2
nurse gift :
unataka kutugombanisha tu😄
2026-07-31 18:16:29
2
Lee fighter :
Mmesema nyie wajuaji hio kituu amna tar 8 nd tunajuw ni nane nane 💯💯
2026-07-31 16:25:59
2
annappaul0 :
Mbona mambo ni mengi
2026-07-31 16:18:58
2
user6778476611074 :
hizo Day zote zinatambulika na serekali! au niache wivu maana Sina wakunipa Wala wakumpa hizozawadi
2026-07-31 20:10:12
1
Ney🌸🎀 :
Umenisahau 8/8 ni my birthday 🥰 mommy
2026-07-31 17:26:53
1
tryphonekilosa :
acheni mambo ya kujiamulia
2026-07-31 15:20:59
1
Jojo cute :
Acheni uchonganishi me nachojua sikuuu ni nanenane hiyo nyingine yakwenu😁😁😁
2026-07-31 16:48:23
1
🚆Daddie💫🇹🇿🛠 :
usitusahau wale team August tuna matukio yetu rasmi ya birthday
#22August
2026-07-31 19:04:51
1
zeddy💕♌️ :
nimezaliwa August 9😍
2026-07-31 16:19:46
1
BONTA VINA MAARIFA_msodoki :
Mbona sion simba day 8 August
2026-07-31 15:41:32
1
Antonio TX :
Sisi watoto wakiume tupewe na wakike
2026-07-31 18:43:31
0
user18735922001267 :
je tr 27 kn nn
2026-07-31 20:26:07
0
Vinny tunzi :
mmh jmn hii calendar ya wap jmn mmh
2026-07-31 20:15:14
0
official brinah :
me ninachojuwa tarehe ni moja2 8/8 hizo zingne sjuwi
2026-07-31 18:04:25
0
Cute_reynel🎀❤️🦋🌹 :
🥺🥺🥺Mm nmeachwaaa nna machunguuu
2026-07-31 20:08:59
0
Intropact 🤫🤔🫡 :
wanawake mnajiamulia mambo me hii latiba nimeisikia leo
2026-07-31 19:52:18
0
GINAH(Gift from GOD)Leo♌ girl :
Wale wa tare 18 tukutane hapa🤗
2026-07-31 18:19:37
0
daylan🍎🍎🍦💓💓 :
ongeza na birthday yanguuuu hapo 22 8 sasa unafeliii
2026-07-31 19:43:07
0
NEON KINGS THE MOVIE 🎬 :
mm ngoja nisubilie national break up day 😂😂 maana mpaka sasa nshatemwa
2026-07-31 18:26:39
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.