kipigin mungu amlaze mahalo Pema pepon namkumbuka sn
ijumaa ana kipindi Cha mwisho hesabu ilikua anakuja pale kengele inagongwa Sasa nenda zako uone j3 utakacho kutana nacho
2026-08-04 07:47:50
2
gharib said :
Home km home
2026-08-01 04:45:23
1
Faa :
Jmn jmn old is gold
2026-08-01 15:34:36
1
💜MTOTO🖤MZURI🇴🇲🇹🇿 :
mm msiba mzito ame nipika sana pamoja na rajabu heri jmn 😁😁😁
2026-08-07 04:54:45
0
user8815483188681 :
dah siku ya kwanz naingia tu form one msiba ilinipig rung tano duh siyakuchek lkn 🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 18:39:01
0
Mudy Mudy :
Ww sefu mm nmemza ww bado unaenda mbadala 😂😂
2026-07-31 13:45:35
1
dida :
nilikuwa natokeya wa mwisho darasani 🤣🤣🤣nikahama hapo
2026-08-09 17:07:53
1
Blaigrana 😜 :
Dah kitambo 😁
2026-07-31 14:47:28
2
zahr@🦋🩵 :
mtoto WA mwl bihalima hapa😁
2026-08-25 21:03:24
0
abdulaziziali5 :
oya mnakumbuka kama mm nilishawai kuwa raisi wa skuli ya kengeja au mnajipumbaza
2026-08-15 19:12:59
0
mbaroukhamisi :
banja mawe yupo lkn
2026-08-05 08:00:06
0
biusalmakeupartist💄 :
Ina bakora htr😂
2026-07-31 13:39:28
1
Ally Suleiman :
tulio anza kusoma 2009 na 2010 la kwnza tupo kwnza hpo
2026-08-17 19:29:51
0
zully :
kwetu 🥰🥰😁
2026-08-02 09:42:17
1
user1262816003150 :
walio soma elimu mbadala wengi ndio walio fika mbali
2026-08-04 06:29:58
0
sulhat :
wengin mpaka Leo Tuna alam za bakora za msiba
2026-08-06 12:04:55
0
Baby girl💞💞 :
Nimemiss home 😁 Daah leo umenikumbush niangalie kovu zang za msiba na mwalim bakar
2026-08-13 08:39:42
0
Mudy Mudy :
Biusal shida yako ww saa 2 ndio ulikua whinging shule