"Wala msiwaue watoto wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua wao ni kosa kubwa.
Wala msiikaribie zinaa. Hakika hiyo ni uchafu na ni njia mbaya.
Wala msiiue nafsi ambayo Mwenyezi Mungu ameiharamisha kuiua, isipokuwa kwa haki."
inapatikan katika surat al Isra kwajina lengine inaitwa banii israil (17 aya 31-33)
2026-07-31 22:45:55
29
BI Salma :
assalamualaikum warahmatuallah wabarakat hii sura gani
2026-08-01 06:00:48
0
Non Chalant :
SubhanAllah
2026-08-01 06:27:09
0
Esma mgunda :
2026-07-31 21:52:58
0
salimu$ :
2026-07-31 19:32:58
0
rajulaabdul78🇰🇪 :
Allah akbar
2026-07-31 19:37:56
0
Adidja Hassan :
Allahuakbar
2026-07-31 19:09:37
0
IbbuTZ :
2026-07-31 20:02:51
0
Juma Daudi :
allah akbar
2026-07-31 17:03:00
0
ABDALLAH MWISHEHE MADENGE :
..inahusia kukatili nafs anazozileta mungu..kupitia uzazi kwa kuhofia rizki km iko haja ya kukata maisha iwe kwa haki..(illa bil haqi), pia kuacha zinnaa...
2026-07-31 23:32:50
0
uncle moo :
mashallah
2026-07-31 21:06:12
0
AJ_Ajuma_28,, :
allah akbar
2026-07-31 19:31:41
0
Abubakari Amos :
Allah Akbar
2026-07-31 17:53:31
0
Mohamed😎 :
msiwauwe wana wenu,,,,,,usikaribie zinaa🙏
2026-07-31 19:33:29
1
abuuzaynab :
😭😭😭😭
2026-08-01 03:14:54
0
Wakongwe first :
🥰🥰🥰
2026-08-01 04:08:05
0
To see more videos from user @its_mahrezy, please go to the Tikwm
homepage.