Kama hujakaa maduka ya uswahilini huwez elewa mtu anakuja na jero yake ata uongee mpk asubh yeye bado yupo n jero yake🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 08:46:36
29
Rizo Ibrahimovich :
uswahilin mtu unamuelekez unamuambia malafin au orodar sio dawa inayotibu malaria unamwambia hii ni kinga lakn ye anakuambia we nipe tu itajuliakana mbele kwa mbele
2026-09-25 17:25:48
1
Lazaro zabron :
nimeagizwa likidoge lile la miambili duuu kazini kwetu kuna kazi
2026-09-21 16:55:20
2
am irynlove 🤍 :
utasema mpaka ukome MTU ana jelo Tu na atoi
2026-08-03 13:08:51
5
Nasma Suleiman :
asantee ,umenipata mphamacia mie
2026-08-05 08:35:09
2
salamy001 :
subutuuuu
2026-08-11 14:05:47
2
shena collection 22 :
yaan jana nilimwagiza boda nenda pharmacy kanichukulie dawa nakohowa yule dada nikapewa cm niongee nae yaan nilidekezwa vibaya sana kaniuliza umetumia dawa gan unameza ngap akaniambia hiyo dawa ni nzuri endelea kutumia mpenz ngoja nikupe na nyingine 2 zitakusaidia mamy utapona pole 🥰🥰 weeh mbna nilisema tu Sawa mpe hizo na nashkuru naendelea vizur
2026-08-19 17:42:13
2
mis.alic3 :
Yaan wateja we acha tu
2026-08-09 09:48:25
3
mlatino :
tuko nje ya muda mzeee😂😂😂
2026-08-02 18:46:01
4
ReyJack :
hii nimeipenda
2026-08-02 20:07:36
1
2+3 five :
mmmh ,,hapo hautauza yy anakuja na jina la dawa yake harafu wewe uanze et kumuuliza uliza ,,hapo anasepa kwingine
2026-08-12 11:42:18
1
🦋Pretty shuu🦋🌸 :
Asante
2026-07-31 17:06:16
1
TRIPPLE D CLEANING SOLUTION :
Jamny Naomba na ya laundry
2026-08-05 13:50:16
1
Vanny g🦁🦁 :
Jaman naomba na Hardware
2026-07-31 15:53:54
5
BUSINESS EMPIRE TZ :
Kwa aina hii ya wateja, hili hakifanyi kazi😂
2026-08-10 04:55:03
1
Patricia 🎧🎧 :
bibi kaniagiza dawa za maumivu za mia
2026-08-28 15:37:29
0
PHARMACIST MWAKINGWE :
Sio kwa Tanzania😅
2026-09-07 23:32:45
1
Dispenser Neema🩺💊💉 :
Niongee kwa kukaa au kusimama 😂😁🙌🏼nanaomba tiktok watuwekee sehemu ya kurecord voice notes 😂
2026-09-08 07:28:21
1
@CEO :
hii ina tegemeana na Hali ya kiuchumi ya ofisi ya ya kwako na inategemeana na mtoaji huduma mwenywe na Hali ya kifedha ya mteja. Kuna watu wanajali professional zao no matter what Bora asiuze kuliko kumpa mtu antibiotics vidoge viwili ambayo badae itamletea shida Bora asimpe kabsa ila kama Hali ni ngumu...😂😂😂😂😂😂
2026-08-16 18:03:13
1
Vanny g🦁🦁 :
vifaa vya ujenzi
2026-07-31 15:54:07
1
MAPULA THE DON🎃 💫 :
nipe za mafund nozel 🥺🥺🥺
2026-08-27 09:54:03
1
happy girl tiktok.com/@u :
we ongea tu njoo kwetu uswahilini huku mtu unamsikiliza unamuelekeza anakusikiliza kwa makini na unajua hapa kashaelewa lakini maajabu anasema nimekuelewa nesi wangu ila sina hela we nipe tu panadol na hilo jina la panadol lishakua maarufu lakini kiukweli utaongea hadi ung'oke koromeo lakini hakuna mtu anatoa elfu kumi ni wachache wanao elewa hakuna anayependa chenji kaka☺️☺️☺️
2026-09-29 04:01:44
1
Said salanje :
kwenye Duka langu la dawa per day naweza pokea wateja 50 na nilapata elfu 15 au chin ya hapo 😂🤣 ila huku,nilipo umaskin unaweza hata kuushika kwa mikono let m change location atakuja na 2000 anatka dawa aina tatu za 300 ,ibuprofen 1 diclopar 1 na cetrizen 1 change irud nikanune mboga khaaa iz location jau isee
2026-09-21 21:53:02
1
Moja Mbili :
una taka watutapeli wagonjwa sasa
2026-08-04 19:57:53
1
official lux 7 :
umeongea🤣
2026-08-01 10:12:28
1
To see more videos from user @chellaboywiz, please go to the Tikwm
homepage.