@ruphinaado: Sio kwamba Siumii🙏🏻 ila Nayafurahia Maumivu Yangu ❤️🫂 Sema hii Misa nayo ni nzuri mnooooo @CatholicSongs🎶 @ST JOHN PAUL II KIBANGU

phina
phina
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 14:37:47 GMT
28189
2758
240
50

Music

Download

Comments

st_johnpaul_kibangu
ST JOHN PAUL II KIBANGU :
hii mass🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-08-01 08:23:20
0
bettyarya2023
BettyBetty :
Ata kwa maumivu hayo Mungu ameskia kilio chako and you will heal soon babe❣️❤️🔥🌹 all the best in your healing 💖
2026-08-01 04:52:52
0
rosejames8395
Rose James :
weweeeeeeeeeee......
2026-07-31 21:16:47
1
onesmus7244
ENGINEER :
you be back stronger 💪
2026-07-31 17:31:45
0
aunt.jj8
Aunt jj :
Nimebarikiwa mom thanks🙏🙏
2026-07-31 18:34:30
0
isack.nyaga
HUMBLE MAN PEACE 🙏 :
aisee una sauti nzuri dada tukimba na mm balaa aisee katoliki naipenda acha tu
2026-08-01 08:00:24
1
wemasenya1
wemasenya :
You'r stong women🙏🥰
2026-08-01 06:11:07
0
rob.willy5
Rob willy :
fratel Anatory ni 🔥🔥🔥
2026-08-01 04:03:06
0
odasiuspaschal
odasius paschal :
Mungu azidi kukupigania uimarike zaid
2026-08-01 06:48:21
1
user335306159105j
Jose ✨✨⭐✴️ :
phina Mungu mwenyezi azidi kukuimarisha kiafya na uzidi kumtumikia yeye pia karibu siku moja parokia ya mt martin wa tours ngoyoni rombo Kilimanjaro sisi kwaya ya vijana Mt stephano shaid tunasema tunakupenda sana
2026-07-31 15:50:34
8
wamzsisterlocks
wamz sisterlocks :
hosanna juu mbinguni
2026-08-01 05:31:30
0
georgemadaki00
georgemadaki418 :
Hongereni sana
2026-08-01 06:16:41
0
lugodajr
clementlugoda :
“Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake; ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu; siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake; ambao Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika Mataifa, nao ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu ambaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu katika hekima yote, tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika Kristo. Nami najitaabisha kwa neno lilo hilo, nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu.” [Kol. 1:24-29]
2026-08-01 05:45:25
0
godiedesmith
Godie De Smith :
misa ya nan hii sorry naomba kujua mtunzi nimeielewa sana
2026-08-01 08:42:59
0
priscar.kabalaza
Priscar kabalaza :
Namuomba Tenor 😂 Sina maneno mengi
2026-07-31 15:07:47
0
user7813819596181
user7813819596181 :
misa ya nani mtunzi
2026-07-31 19:27:32
0
pachael12
Pachael12 :
pole madam utakuwa Sawa tu bn
2026-07-31 18:28:05
0
tobiaslukenza
lukenza :
kaka Bosco ipuli lini
2026-07-31 22:14:24
0
aniterisalistidet
aniterisalistidet :
Mungu azidi kukuimarisha 🥰
2026-07-31 17:45:21
0
linah5902
linah :
atukuzwe Mungu milele
2026-08-01 03:38:57
0
sylv.lani
Sylveria lanez. :
Naona nikioa mke wa pili....😂 Quick recovery 💕
2026-07-31 18:11:03
2
pharisees63
pharisees :
kwani huyu dada alifanyaje 🥺
2026-07-31 20:11:42
0
...roman.255
🥷 Roman_©️Ⓜ️🐒🏴‍☠️ :
Jina la wimbo 🥰
2026-07-31 22:09:37
0
sabrinandimbo
Sabrina :
Mbona najikuta nataka kulia😭😭😭
2026-07-31 21:49:24
0
To see more videos from user @ruphinaado, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About