@evamrema2: TUTALIONGEA HILI KWA KINA, HAKIKISHA HUPITWI. Eva Mrema. Mwanasaikolojia, Mkufunzi na mshauri wa maisha na ndoa. karibu vitabu vya maarifa na riwaya. #trendingtz🇹🇿 #fypシ゚viral #trendingreelsvideo #trendingnow #healyourself
Nifubae kisa kusubiri pesa ya mtu siwezi mahii kwa hilo utanisamehe
2026-08-01 09:46:39
138
🦋Linda 🇹🇿 :
Kwahiyo nipauke mwezi mzima niwe kama bibi mapak nisubiri pesa ya mtu
2026-07-31 23:38:24
98
🦋Trish❤️diva11🦋 :
Yani natamani leo kula kuku nisubiri hadi keshokutwa ndo nile wakati hela ninayo😂heee nimeolewa ila umo mnitoe jipendeni jmn😂
2026-08-01 12:42:46
21
millah millah cater🌷🥀🌺 :
me kwenye mwili wangu staki nifubae nichundee kwenye mwili wangu kama na Hela ntajifanyia mwenyewe au nizione nachukuwa akiuliza namjibu unataka nipewe na nani na atakuta nishasuka mwengine anakufanyia makusudi ufubae akudharau
2026-08-01 07:22:11
17
Anneth malya :
🤭 umekuja wakati sahihi basi ngoja niwekee pesa yangu
2026-07-31 20:55:58
44
Shimihair and More :
kuomba kunamfaaa mwanamke asiye na kipato tu ….Niombe pesa leo naambiwa vumilia bado nishinde nakumbusha kumbushaaa hapana jaman mie siwez naomba nikiona havielewek naendelea na mishe zang
2026-08-02 19:07:29
5
Queen Kapinga :
iyo tabia ninayo mm jmn nilimwambia nataka simu akaniambia subur mwsho wa mwez nikaona ananichelewesha nikaenda kwa mamangu nikamuomba hela nikanunua simu alipoiona akasema kwhy umeamua unidharau sawa
2026-08-01 10:32:07
7
bethistar :
Sasa kam nina Ela zangu nisubili zake zann kwanza mm spend kuomba omba
2026-08-01 15:57:42
9
E- collection 💄🍦🥤 :
girls spoil urself kama unahelaaa jipende👏
2026-08-01 16:34:35
6
shena collection 22 :
akaaah me nasubir tena huku namuombea apate zaidi mume wangu 🥰
2026-08-02 18:53:50
6
Asiah kidot :
Inategema na mwanaume km hana nisisuke nisubiri adi anipe au nisinunue adi anunue hapana maisha nikusaidia mkikubaliana km anatoaga na naona amefeli sasa kwanini nisifanye mie niliyepata
2026-07-31 23:54:24
12
Humble❤️ :
Nikutumie acc yake DM umtag kwa niaba plz ☺️
2026-07-31 15:32:07
8
birgbirgsbirgsang :
mbona mnatuchanganya sasa
2026-07-31 17:41:31
7
jastbecause me :
nilisubir hela ya kusuka miez miwili mwisho nikaamua kunyoa😂😂😂 kwa sasa usinishauri utanichanganya tuu😂
2026-08-03 06:37:29
5
claudia :
uko sahii kabisa hata luku, bills, gas,michango ya shule. tulia mama
2026-08-07 09:37:29
1
God’s Favourite 🤍 :
Dear women live by her words utafurahia maisha 😅 ever since nimelijua hili I'm at peace ✌️acha mwanaume awajibike mpaka akuombe yeye ufanye kitu
2026-07-31 20:14:04
8
Sweet pie :
this is the best marriage advice ever ambayo utawahi kusikia kuhusu ndoa. Trust me 😅😅😅
2026-07-31 18:25:34
9
fhaudhiaseleman :
dada unamaneno mazuri sana mama wew ndio mke bora
2026-07-31 17:47:57
8
it's_Lee👅🦋 :
bora ata huyo anakwambia ntakupa siku fulani we mtu unamwambia naomb uninunulie ktu fulani anakwambia nikipata hela ko ntasubr tu na sjui hela anapata siku gani
2026-09-17 05:09:37
1
Mamu 🎀 💖 hamza :
Wanawake wengi uvumilivu tumekuwa hatuna
2026-08-02 09:07:49
2
marijanikondo :
huyu dada nampenda sn na namfuatilia sn
2026-09-14 09:49:07
2
Upendo Dickson :
tupunguze maelekezo, wote ndo mara yetu ya kwanza kuishi duniani😂
2026-08-03 16:30:48
4
💍cute Fathiya 😍 :
mm ata kama ela ninayo naona ubairi kutumia elayng😁😁
2026-08-01 12:02:44
3
Lady 🥰 :
Vip ukiomba halafu uambiwe haina haja ya kusuka wewe Tayar n mzuri na ashakupenda hapo hapo natulie ???
2026-08-03 21:32:32
1
carry d :
kwanza kuna muda sio hawana anakujalibu tu uvumilivu wako
2026-08-03 09:55:07
3
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm
homepage.