@fikrachanya_tz: Ishara 5 za Kisaikolojia Zinazoonyesha Una AKILI ya Kipekee (Bila Kujua) | Gifted Person #psychology #iq ##personaldevelopment #giftedperson #mindset
kwa mfano me nliwahi kuuliza darasani kipindi nipo chuo kwamba kwanini mtu akinywa dawa ya maumivu inajuaje kama sehemu fulani ndio panauma? watu walicheka ila me nlikuwa curious sana kutaka kujua
2026-08-02 06:04:03
3
Cpt Komba Jr :
aisee 100% huyu ni mimi
2026-07-31 15:31:37
3
rila 104 :
jmn Mim huyu lamwanzo
2026-08-02 08:07:55
1
ELVIRA :
tatizo kila mtu n yy kila post,ila hawa watu n wachache sana
2026-07-31 19:26:49
3
dottoomarymadelek :
kwani siri hizi wewe umezisoma kwenye vitabu vilify o andikwa na watu sawa wewe ni mwana saikolojia na taka uweze kufungua paten akili yangu kupitia sms hii
2026-08-02 08:46:19
1
Chescal Expedito :
naumiaga sana pale Napo jalibu kuwaelimisha watu Ila uwa awanielewi nakuniona mjinga wakati nawaeleza ki2 cha ukweli uwa najiisi kuwa Nina akili ya pekeangu tena ya kijinga😌
2026-07-31 19:32:05
2
It's baby t 🧕❤️ :
huyu ni mm Kabsaa eeh mung nakuomba uzidi kuniongozaa katka kheri na wengne pia 🤲🤲🤲🙏🙏🙌
2026-08-01 14:03:13
2
ibrahim :
mbona hau jibiyake message jamani
2026-07-31 15:32:51
1
Juliethmaya93 :
mbona Kama ni mm😂
2026-08-01 11:15:59
1
JC :
Asante dada maana nilikuwa najihisi kama mgojwa kutokana na kukaa pekeangu
2026-08-01 03:47:34
1
ozias walker SWAHILI EDM🙌 :
Nimeamini Nina akili kubwa 😂
2026-08-01 13:05:24
1
Momo💎 :
huyu ni mm
2026-08-02 06:58:37
0
fayguider_ :
Yani misisemi apokwenyenilijua itatokea yani kama mchawiyn najuaga vitu kabla sema wakati mwingine unakua kam ujiamini ivi kumbe nikweli
2026-08-01 20:22:06
0
1020🫡 :
sister hayo maneno unayatoa wapi.. nakubali sana post zako huyo mi mimi
2026-08-02 18:16:06
2
2046 :
tafadhali nipe jina la kitabu
2026-07-31 14:58:55
0
KIJANA💥🙉 :
Mm asilimia 100
2026-08-01 18:50:53
0
NIZO_the LAST BORN 🌱 :
ninazo zote 5
2026-08-01 19:51:42
0
cute laty :
ndo mm uyo 😂
2026-08-01 19:25:32
0
Noël :
asante sana mwalimu
2026-08-02 23:16:57
0
cute laty :
mm najihisi kama nipo sayari nyengine tangu utotoni
2026-08-01 19:33:58
0
RoShta daNgola :
Hata mimi 100%
2026-08-01 19:27:43
0
Gt_charisma💫💫 :
fact👑
2026-07-31 15:21:44
0
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm
homepage.