@dr_dorothy_gwajima: Nyie😍, twendeni Zanzbar🇹🇿 nimegundua mambo mazuri sana yanaitwa mashoki shoki🤩💃🕺 Utanipongeza🏃🏃‍♀️ Ona mimi na Mhe @dr.evalinemunisi Naibu Waziri, OWM Kazi, Ajira na Mahusiano, tunaonesha mfano kwa vitendo, Vitamin C humu kama zote😘

GwajimaD
GwajimaD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 14:59:38 GMT
42394
1915
89
51

Music

Download

Comments

christina.joseph490
Christina &Mark🇹🇿🇬🇧 :
Enjoy mama🥰🥰🥰
2026-07-31 16:03:11
0
camara14_
CAMARA :
sio mashokishoki ni shokishoki. umoja ni shokishoki na wingi ni shokishoki
2026-07-31 19:42:17
20
bindawood.02
faba bin dawood :
visit Zanzibar I LOVE ZANZIBAR
2026-08-01 16:47:38
0
chacha.marwa12
Chacha Marwa12 :
Tanga yapo mengi sana mm kuyala ndio nimeshindwa kila nikijaribu siwezi
2026-08-01 03:37:12
5
ajumyta
Innallaaha ma'anaa :
Naomba please just missed shokishoki dorian
2026-07-31 18:46:40
0
nassor_mod
Nassor Omar🇴🇲 :
Ila nchi yetu mmeibana tunaupenda Muungano ila sio huu wa sasa kila upande uwe na maamuzi ya mambi yke na mashirikiano jw mambo machache, ndio kinachowafanya lazima muwe na Zanzibar na wenyewe hawataki
2026-08-01 09:17:31
0
washeymadimples
Zanzibar girl :
hatimae mama unetufikia karib zanzibar
2026-07-31 16:17:46
7
hh834258
Mr. NEP (H+H) :
mashokishoki matoori mashokishoki matoori
2026-07-31 23:26:22
2
user9266118709269
user9266118709269 :
JAMANI ZANZIBAR RAHA BADO DORIANI TAMU SANA KARIBUNI VIONGOZI WETU
2026-07-31 21:20:23
9
user7270652372034
Marmoush_Hassan :
Mimi nataka niwe mkwe wako Mama 😃
2026-08-01 10:04:17
1
hakihupiganiwa
Reform clasic :
kumbe kunenepa ni afya
2026-08-01 15:47:57
0
userlil.rey188
Lilrey💟💟💟 :
Mama karibu nauza achar
2026-07-31 15:08:39
3
user3128827709879
dazuu :
Tamu htariii yani nazipenda nazipenda tena
2026-08-01 16:33:06
0
smnetwork_
Swahili Media Network :
Mama unenepe kwa sholishoki 😂😂😂 umenifanya nimecheka kwa sauti peke yangu jinsi ulivyoisema 😁
2026-08-01 14:12:22
0
emmy04240
Emmy :
mama gwajima dorian ushakula tayari?
2026-08-01 15:36:54
0
user4438700878417
dully :
zanzibar ninjem atakaye naje
2026-08-01 13:58:45
0
user2304085094981
love :
znz njema
2026-07-31 20:12:21
1
bernaldo6458
bernaldo :
mama naomba niletee na mimi jomani
2026-07-31 16:10:37
1
nasminarashidi
nasmina rashidi :
karibuni tena
2026-08-01 06:58:26
0
frenchmakuna
AMO_COLLECTIONS :
Mama naomba niungishe mavazi ya office pochi, viatu, na nguo karibu sana
2026-08-01 07:19:10
0
user3079205173486
chum :
kwa shokishoki mama hunenepi.
2026-08-01 09:28:21
0
idriham1
Idriham :
Karibuni sana na huu ndo msimu wake muwahi kabla ya msimu wake haujamaliza
2026-08-01 10:19:53
0
kipungo
KIPUNGO :
kuna siku kulikuwa na final ya simb na yang rafiki yangu kaja hana mwenyeji weee kapagawa
2026-08-01 09:24:54
0
bahatlububi
luckness :
Vitamu hivyo mama
2026-08-01 08:50:13
0
user6166620844979
@official leogirl :
namuona wajina mh. Eva☺️
2026-08-01 12:05:54
0
To see more videos from user @dr_dorothy_gwajima, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About