@chey_tz: Chakula Kinashawishi shida😋😁 @kisiniarestaurant 🙌🏽🔥🔥

CHEY
CHEY
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 15:02:35 GMT
48442
3615
107
71

Music

Download

Comments

user40526930815073
yankila :
mmmmhhh ivyo
2026-07-31 15:43:38
1
amtinah047
amtinah04 :
ila chey😅
2026-07-31 16:39:38
0
gt_charisma
Gt_charisma💫💫 :
ila chey ukishibaga t 😂😂😂
2026-07-31 15:07:08
13
lemaz_tz
lemaz :
wanatumia garama nyingi kutangaza, ila huduma mbovu
2026-07-31 16:27:07
14
official_nanag1
✨️ nana ✨️ :
me nakujua kwenye chakula huna siri 🤣🤣🤣
2026-07-31 18:18:19
4
iamkareem78
kareem 6th :
Huyu ukimpa na soda anakupa mpaka umbea wako mwenyewe
2026-07-31 21:43:45
2
nyembe_icon
Icon_nyembe :
nikishiba tyu
2026-07-31 15:10:33
2
huruma.catoto3
huruma catoto :
ila shemeji ukishiba tu basi😂😂
2026-07-31 18:21:38
2
misskhayra06
misskhayra :
na leo tena umeshiba umelopoka🤣🤣🙌🙌🙌
2026-07-31 15:10:07
11
official_candy255
candyactress :
Kwenye visinia uwe Una niita tupige umbea wote familia 😅
2026-07-31 18:12:25
2
misschelia
Sylicheria :
Tutashindwa kukukalibisha kama uwezi kutunza siri😂
2026-07-31 15:12:31
12
dingilai6
dingilai :
kisinia namba zao tafadhali tuagize ili tuseme yotee 🤣🤣🤣
2026-07-31 18:10:10
1
zallydivah01
Mrs Zubery🦋 :
Mimi nlipikiwa viaz nyama tyuu 🤣 nlitaja ad njia na cku tunazoendaga 🤣🤣🤣 ila kula
2026-07-31 16:11:02
1
madam.cute1
madam cute🥰 :
naomba msimpe chey chakula ata yazagaza
2026-08-01 05:07:41
0
mgwani05
Mgwani 26🌏⚓ :
daaah mwanetu atakiwi kula huyu 🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️
2026-07-31 19:32:56
1
mmkonde1
Mwali mmakonde :
kkkkk,chey utaniuwa
2026-07-31 15:06:15
1
sidenewnation7
Side new nation 45 :
hahah mkal kabisa
2026-07-31 15:43:04
1
.g.love5
@ G love🥰 :
Chey akishiba tu koo linakua halina siri😂😂😂
2026-07-31 15:07:49
1
jacko.di.caprio
Jacko Di Caprio :
daah kwahyo mwanetu mchawi tonge😁😁
2026-07-31 22:05:05
0
unrecognisable2
Eby ze boi :
mavyakula ya baridi siji tena😏😏
2026-08-01 06:12:25
0
tryineerbae5
tryineerbae :
😂😂😂😂 Ila wewe🤣💔
2026-08-01 06:42:32
0
goldenmelanin1
GoldenMelanin🤎 :
Chey ukishiba unayazua ww😅😅😅😅
2026-08-01 00:51:04
0
mr_mista8
Tyming msee :
ila mwenetu hujampigia ata stani aje pia yy ashawishike na kisinia..😂😂😂
2026-08-01 03:30:40
0
To see more videos from user @chey_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About