@iammuddyzotz: Hivi Mapazia hufuliwa baada ya miaka mingapi😎 Nisije nikawa napitiliza🤔🤔🤔 #text #viral #trending #creatorsearchinsigh #viralvideo

MO_MSUMI
MO_MSUMI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 15:04:17 GMT
60484
2203
761
378

Music

Download

Comments

ezekieltumbo668
Ezekiel Tumbo :
mwezi 1
2026-08-01 05:06:01
1
saitoti_moita
Saitoti A. Moita :
pazia ni sehemu ya ukuta. huwa hazifuliwi
2026-08-01 06:07:14
630
dadi_chikota
🇫 🇷 🇦 🇳 🇰 🇩 🇦 🇩 🇮 :
Yangu yana mwaka wa 3 yanajua yapo dukani bado
2026-08-01 10:22:09
146
dianamkuna
Diana Mkuna :
Hz coment za watz 🤣🤣🤣
2026-08-01 18:03:35
0
nellah192
♡M~ss🍂Mwidini🩸♡ :
kila baada ya miaka 5 yaan kila uchaguz wa kitaifa ndo unayafua
2026-08-01 12:54:20
51
essieh45
Esther Joseph :
me hoiiiiiii😂😂😂😂😂😂
2026-08-01 11:44:49
0
missmajosta
missmajosta :
kwani huwa yanatolewaga dirishani mi nikiyatoa ujue nahama. 2022 hadi leo 2026 sijawahi kuyahangaisha 😂😂😂😂 uzuri sifutiagi kamasi
2026-08-01 09:07:19
66
mrlover978
Alfan Green :
litupe🥺🥺🥺
2026-08-01 06:15:02
0
neema.nestory6
Neema 🦋 💖 :
kuna mtu kasema ni sehemu ya ukuta😂😂
2026-08-01 14:41:52
44
user8161768632416
kenforden :
acheni hizo bas mapazia huwaga hayafuliwi
2026-08-01 05:33:15
50
jackline_nyahega
jackline_nyahega :
Christmas
2026-08-01 11:58:59
0
emmanuel.raphael06
@official immah✌️ :
kama nakumbuka vizury tulikubaliana karne sio miaka
2026-08-01 17:30:49
20
asma04355
Asma🦚😇 :
Ufue pazia kwan unazivaa😁
2026-08-01 09:19:04
32
sabbysam7
sabbysam7 :
Nlikua nayo meupe na ilikua after 4months ila nimenunua ya brown now aisee haya naweza maliza miaka🤣
2026-08-01 10:13:13
12
officiollucy
@officiollucy :
Me sijawahi fua na nina mwaka wa5
2026-08-01 09:13:36
8
dorinho.alberto.pe
Dorinho Alberto Pereira :
eeh nyie kumbe hua yanafuliwa? 🙈
2026-08-01 13:09:26
7
bartazary12
Sangali's Daughter🫂🩸 :
umenikumbusha aseeeeh daaah😁🙌🤣 tangu nilivyoyafunga mwaka 2023 mpk leo duuh🤣
2026-08-01 05:55:25
6
sweeetmima
🔐🦋fine girl❤️🦋🦋 :
😂😂😂 yang toka niamie😂😂yaan mapazia yangu ya chumbani sijawah yatoa na ni rangi ya kijivu😩😩😂😂😂😂2023 mpk 2026😞😞😩😂😂
2026-08-01 07:26:41
6
iammuddyzotz
MO_MSUMI :
nishawai nunua pazia likanitia uvivu kulipachika juu nilipoishiwa mashuka masaf lenyew nikaligeuza shuka😂
2026-08-01 12:55:16
47
maxmillions120
Maxmillions :
mama yangu umenikumbusha iv kumbe nna mapazia dirishani🤔
2026-08-01 00:25:11
9
chrispaschal182
Chris Paschal :
kumbe huwa yanafuliwa nahamsemi🤔 sjapenda
2026-07-31 20:24:11
8
archloystz
Aloys Alex MSBG :
kwan wenzangu kumbe mnayafuaga? mnaishi baharini au?
2026-08-01 09:07:58
5
To see more videos from user @iammuddyzotz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About