@neoagriculturemachinery: BRUSH CUTTER MACHINE Tumeleta machine ya Brushcutter Hii ni machine inayotumia petrol Ni 4 stroke engine Inafyeka nyasi fupi na ndefu Inakata vichaka Inavuna mpunga na ngano Inaplilia mazao aina zote Ina attachments 5 Ni machine ya kisasa Bei 600,000 mawasiliano 0693761024 #brushcutter#flp #pyfツ #viraltiktok
Neo Agriculture Machinery
Region: TZ
Friday 31 July 2026 15:26:03 GMT
Music
Download
Comments
Haddy🦋 :
ziko sehemu gani na shngap
2026-08-04 19:56:16
5
VIGO GIRL Katavimitumbadealer :
shingap unauza?
2026-08-06 10:33:32
2
anny :
inanyoa na nywere???
2026-08-05 19:06:00
3
flying eagle😜😜😜 :
wow
2026-08-06 11:16:39
1
user6271529155935 :
lita moja heka ngapi
2026-08-01 10:37:05
1
💥It's-raika 🥷💥 :
Huo uvivu bei gani?
2026-08-06 17:42:46
3
Daud makang'a10 :
nitumie msoma
2026-09-02 10:31:37
0
chiy :
nba ya sim
2026-08-26 20:16:35
0
magdarenamathias :
inapaliliaje sasa c itakata mazao
2026-08-14 12:25:18
0
issaally :
inauzwj
2026-09-12 08:08:25
0
chloe 🤪📌 :
hiv watu mnaouliza shingapi kwamba mnaangalia tu hamsikilizi hat maelezo yaan mnakera 😂😂😂😂😂
2026-08-13 09:43:51
0
MBUI 677583197 :
pp
2026-08-05 12:21:43
0
user2839559128203yassin ally :
je! haikat mazao???
2026-09-07 19:22:22
0
Faa Diorgen :
hiyo akiipata baba yangu kijiji kizima atakuwa kibarua wa kijiji make mzee namjua 😂😂😂
2026-08-10 15:26:14
0
linder :
Naomba ukatangaze makambini Kote tuone km serikali inahuruma na vijana😂😂
2026-08-07 13:51:34
1
💚Ummy💚 :
nauvivu wangu uu ebu nitajie bei chap
2026-08-07 17:02:54
0
@@m$$ :
uvivu wa kulima2😳
2026-08-07 11:46:29
0
Fighter ctz✂️💈 :
na ikikuta hii kitu chini si ndo kwisha kazi😂🤣
2026-09-01 09:47:26
0
MC BIBO RAP :
😅😅😅😂😂
2026-08-05 09:40:32
0
Majorizer Tz :
😁😁😁
2026-08-06 13:08:35
0
To see more videos from user @neoagriculturemachinery, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.