@dbashhussein: #fyyyyyyyyyyyyyyyy #nandyfestival2026

Dbash
Dbash
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 16:07:29 GMT
536676
16804
145
121

Music

Download

Comments

lolah0158
lolah :
pipijojo kanenepa 🥰
2026-08-01 08:11:14
7
mrsmachala1
Mrs~Machala🥂 :
Hicho kituo cha police ndio nilipelekwaga na wazazi wang wakaninyooshe adabu sitaki shule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-31 20:27:52
86
jimmymacha1
JIMMY MACHA :
kwani wamefwata nn hpo mm sielw
2026-08-01 06:34:32
12
anastaziajosephu3
Anastazia Josephu :
kwann nandy asige vaa laba jemeni😁
2026-08-01 13:56:51
0
zammy.mchomvu
Salmah💕😘 :
kuna nn jmn
2026-07-31 22:16:41
9
tress.017
Tress 01 :
nna ushuhuda na hiki ktuo wallah!!
2026-08-01 06:03:38
28
aisha_mtam
aisha_mtam :
Niko bz na kiat Cha nandy havijaendan na nguo
2026-08-01 13:07:22
24
user2376367054813
Doriny minack :
afande cos,na alex
2026-08-01 05:27:30
6
jayleonardmagida1
enerick :
ila Aya maisha ukiwa raia choka mbaya ukiend police na pens wanakufukuza lakin bill nass katinga fresh t au anacho kibali chakwend police na pens
2026-08-02 04:44:18
1
mars_george_
Aria 🍀 :
Huwezi amini nilifika hapo
2026-08-01 14:04:20
2
mtu.piru
MTU PIRU :
hawa pilice hawana kazi
2026-09-05 12:17:07
1
zuwesh_beauty
Zuwi accessories :
watu wa kahama mnifollow jmn
2026-08-01 02:06:01
5
official_monah5
official_monah💗🦋 :
Wameenda kufanyaje apo police sas😅
2026-08-01 13:58:59
2
raevsmolnew
Nunu collection 🛍 :
nmetembea sana hapo loh sina ham😳
2026-08-01 09:23:27
3
abduldjuma685
jay kahama :
hicho kituo sitamani ata kukiona nishapelekwa mala kibao ila mungu ni mkubwa kuliko yoote🤣🤣🤣
2026-08-01 16:22:20
6
johanpaul214
Johan paul :
nampenda nandy kamshika mkono pipijojo Mwenyezi Mungu amtunze..
2026-08-01 08:59:42
6
tabitha_mathias
Miss___T✨🦋 Katoro :
Sitaki hata kusikia kukaa na wafungwa kila mtu na historia yake 😳
2026-08-01 08:33:48
6
jackline.jackson34
Jackline Jackson :
wanatafutata kazi polic au mtueleweshe sasa
2026-08-01 21:17:49
1
serious.girly
serious girly :
polisi kahama hapajawahi badilika daaaah 1992 _1995 pako vilevile leo 2026 sawa
2026-08-01 08:00:16
5
tinnah.faustini
tikufundurwa :
hiki kituo 🔥
2026-08-01 09:40:59
2
user974995807039
it's Naa☺️🎈 :
27/27
2026-08-01 04:51:26
2
veestrawberry3
vee🌺 amor___🫀🫶🔐 :
wamefanyeje hawa watu
2026-08-01 07:41:31
2
user1625104269404
user1625104269404 :
Niko mdogo nachota maji pale magereza tunapita kwa Mzee mkora kuchukua maziwa kituo Kiko vile vile Hadi nazeeka shida
2026-08-04 20:28:07
1
user4891852228139
user4891852228139 :
sjaerewa hat mim
2026-08-01 16:26:35
1
shukulukalokola92
shukulu kalokola92 :
nime muona afande malwa
2026-08-01 05:12:17
4
To see more videos from user @dbashhussein, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About