@pointfmtz: Afisa Usajili Mwandamizi wa NIDA jijini Dodoma, Grace Msacky amesema kuwa Namba ya utambulisho hutoka mara moja na haiwezi kubadilika hivyo ikiwa kutatokea changamoto Mwananchi hupaswi kujisali upya badala yake unatakiwa kufuata taratibu za urekebishwaji ili uweze kurejesha namba yako ya utambulisho kwa wakati. Grace ameeleza hayo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wetu @happyangelbalisidya kwenye kipindi cha The Morning Rush siku ya leo hapa Point Fm 96.5 📹 💻 @ciphaleetza ___________________________ #Pointfm #ulimwenguwaburudani
Je naweza kubadilishiwa picha yangu???
Maana ile picha hapana kweliiiiii
2026-08-01 13:49:44
9
sam☑️🇹🇿 :
nmeenda Arusha kisongo pale kurekebisha jina la mwisho wakaniambia niende Kwa mwanasheria au mkuu wa wilaya nipate kibali af niende tena kutangaza kwenye gazeti la serikali kwamba narekebisha jina mwisho tuu basi nikaona mlolongo mreeeeeeefu nikaachana nayo bhana woyiiiiiiii
2026-08-01 10:40:55
6
madukasayi :
Mimi hii kitu nimeteseka nayo toka 2020 baada tu ya kuitwa kwenye interview majina yangu yote yalikuwa kwenye vyeti vya shule yalikuwa tofauti kabisa na majina niliyojiankisha kwenye NIDA. Nimekuja kufanikiwa 2026 mwezi wa tano, Nimetumia pesa nafikiri inafika 1M mpaka nakamimilisha. Nawashauri tu ndugu zanguni Watanzania unapoenda kujiandikisha NIDA wewe au mtoto wako hakikisha taarifa ni sahihi zote. mimi nimefika hadi makao makuu ya NIDA Dar es salaam pia Nilienda hadi Baraza la Mitihani TANZANIA kuhakiki vyeti vya secondary, nilipita na Mahakamani kuampa na kupewa affidavity yaani nimepita kila kona ambayo ipo attarched na Mamlaka ya NIDA. kwa hiyo nawasihii sanaaa issue hii ya NIDA ni deep sana hasa ukikosea kujanza taarifa zako. hayo ya kujiandikisha upya ili nipate namba mpya nilifanya zaidi ya mara mbili bado ngoma ilikuwa ngumu.
2026-08-02 10:44:02
1
Mama Coco 💚 :
Yaan nilipoteza nikaenda Nida nikalipia 20000 lakn nikapata baada ya 3 years na kimekuja hakifai kimeanza kufutika ikabid nikiache Nida mpka leo ni miaka 2 na sijakipata dah
2026-08-01 19:36:25
1
gloryswai433 :
yaani kubadili details ni mlolongo sana jamqni..toeni njia rahisi ya kupata
2026-08-01 15:00:23
2
Minah collection Arusha :
Nidda inaweza kufungiwa??? Mm yangu inasema imefungwa 😂😂😂
2026-08-02 06:05:42
0
user46187219161181 :
asante dada nimekuelewa vzr.mm mwaka ndo ulikosewa ntafstria ili nilekebishe.
2026-08-02 03:33:35
1
Silas Magumi :
nida mnatusumbua sana nilijiandkisha mpaka leo hakuna mwelekeo
2026-08-02 13:44:16
0
Berna :
yàani NIDA bhana!!
2026-08-01 17:32:28
2
mr.shine :
ushawahi apa na jina likatoka kwenye gazeti na bado unaambiwa njoo kesho ! yaan namaanisha kesho hata ukienda kesho bado unatakiwa kwenda kesho yake yaan kiufupi uende kesho , ukienda hio kesho si inakua leo koo watakwambia fata maelekezo tulikwambia keshooo🤣🤣 hii bongo hapana.
2026-08-01 16:05:04
2
Philipo Hosea :
kubadilisha taarifa mfano majina kesi inaishia mahali ulipojiandikishia au muhusika analazimika kwenda hadi mkoani, uhamiaji labda maana tunajaribu vizingizti vinakuwa vingi kwelikweli...! Na je ni bure hakuna gharama? iwekwe wazi. Na je kwenye marekeshi haya iwe majina, tarehe, mwezi na mwaka hapa mahakama inahisika au la? na je ni bure ama kuna gharama?
2026-08-01 13:39:33
1
mambuo20 :
kurwkebisha ni mlolongo mno hadi mtu anakata tamaa,punguzeni milolongo, mara kutangaza hadi kwenye gazeti la serikali
2026-08-02 18:18:23
0
Teddy Nusuboy :
mm wamekosea jina
2026-08-02 15:53:18
0
binti____mongi :
Changu kinafutika jamani
2026-08-02 17:24:26
0
Drleon008 :
unaelezea vzr 🤗....si bora tubaki na namba tu jmn🙌
2026-08-01 11:25:54
1
Solo👑👑 :
huyu dada yuko wapi niende anielekeze na shida zingine za Nida😂😂😂😂
2026-08-01 17:37:29
1
Remminister :
vipi kwenye ajira mwanangu walimkosea wenyewe mwezi wa kuzaliwa haitaonyesha watu tofauti
2026-08-02 14:05:37
0
eshedau :
mie nitakuja kurekebisha
2026-08-01 07:02:11
0
AkA❤️🙏 :
ani mbasumbua mpak karah sijui mnafanyag nayo nn miak miwil marekebish aseee hii nchi
2026-08-02 14:29:23
0
Brightness 🔆 big boss :
kiongozi samahani lakini naweza pata namba yako
2026-08-02 13:50:35
0
NESS BEAUTY AND RADIANT :
Alokuwepo dar wiliya ya Ubung na amenfungiwa NIDA 😂 twende tukafatilie
2026-08-03 01:06:43
0
Fundi mjenzi :
naomba kujua NIDA yangu inasoma jina langu, ila nikisajili lain naambiwa NIDA siyo yangu, shida nn? nimeenda ofisi za NIDA wilaya wameshindwa kuelewa naomba unisaidie Sina lain yenye jina langu hata moja
2026-08-03 05:41:35
0
zuhrati672 :
ofisi zenu ziko wapi Maana mm kitambulisho changu kimefutika maandishi
2026-08-02 15:22:16
0
JAY'S "#42" :
NIDA kwakwel huduma ni mbovu sana nimepeleka.kitambulisho kimefutika namba tokea March hadi Leo hakijawahi Toka??? shida Iko wap?