@fumau_bin_mjeje: Nimemsapraiz mama#foryoupage #fyp #quran

fumau mshairi 👳‍♂️
fumau mshairi 👳‍♂️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 16:25:12 GMT
323394
37963
1427
913

Music

Download

Comments

nahya_new
🦋New_nahya🎀🦋 :
hii itanifaa mim nilio badlisha dini mashallah itanifunza vizuri 😥😥
2026-07-31 19:20:29
519
rukiarukia810
Ruks :
ninayo Kam hii MashaAllah nilinunuliwa na boss wangu🥰🥰🥰
2026-08-01 09:24:45
106
sharon.ouechi
Sharon ouechi ❤️🥰🤍 :
wow nice mashallah 🤲❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-02 20:47:07
0
user3131297804024
[email protected] :
ooooh sawa
2026-08-03 06:26:17
0
abuunuzlat
abuu~nuzlat :
marshallah
2026-08-02 14:52:57
0
mariam.juma20
mariam juma :
mashalah Marshall 💞🥰💞
2026-08-02 14:33:58
0
modaz.footwear.co
Modaz footwear collection :
hiyo kanzu estate iko wapi niende na mie
2026-08-02 03:55:43
0
khikmat.from.znz
khikmat ❤️‍🔥from Znz 🕌🇸🇦🛫 :
anae uza hiki nahitaji nipo zanzibar 😳
2026-08-01 12:05:55
18
sadikisaleh2019
Asaf mtoto wa maniema19 :
Mashallaah
2026-08-03 05:23:25
0
jamillafarshady
Mrs hassan :
😭😭😭mungu hakuwekee mama yako tu wengin hatuna wazaz😭😭😭
2026-07-31 17:08:05
187
daad745
Aizaki :
inaptkna wap kw zanzbar
2026-08-01 18:01:36
0
daxelectronics
dax electronics :
afadhari unae mama wa kumpa zawadi R.I.P MOM🥺
2026-08-01 04:17:22
99
rayyanothuman0
🌼ريان :
Jaman muwe mnasikiliza video mpaka mwisho, mbona ametaja bei ni laki moja,100000
2026-07-31 21:14:12
20
dayana.mhapa
🌸MS.VIDIMPOSE🦋 :
Ewe mwenyezi mungu nimeichangua dini ya ☪️kwa mapenzi yangu mwenyew Na kuamuq kusilim nijalie mwanaume wa ☪️atakaae nifunza dini ili niijue amen inshallah 🤲
2026-07-31 22:43:03
46
muslihabuu185
Muslih Abuu :
Mashaallah wapi iyooooooo jamani inapatikana nianze kujisomesha mwenyewe
2026-08-02 02:06:07
7
aishasambala176
shan j :
mashallah n nzuri n sh ngapi?
2026-08-01 04:35:18
15
athumannjom
O T H :
kaka content nzuri lakin mama alikuwa anataarifa ndio mana anayo maiki
2026-08-01 16:18:57
5
ratifahmduda
Queen latifa cosmas :
jaman naitaji namie maana maana nimebadili dini mwenzenu itanifaaa sanaaa
2026-08-01 17:05:42
6
fat_.abaya
FAT_ ABAYA :
Inapatikana wap tupe bei
2026-07-31 20:48:59
9
hubaally509
Huba outfit 🔥✅🛍️🛍️ :
Nimeskia mama kasema una nn inazingua 😂😂😂😂
2026-07-31 18:03:55
5
jojopope
jojo pope :
nahitaji plz napataje bro fumau
2026-08-01 02:05:16
7
kulwa375
Annamaria shemahamba🥰 :
naomba Bei nimnunulie baba angu
2026-08-01 04:50:37
17
traczcgazjsb2
RIZIKI. MAGODORO. BORA :
mm nikiitaji naipataje
2026-07-31 22:51:23
6
karsally77
Snowflake ❄️ :
naomba kujua kanzu estate inapatikana wapi
2026-08-01 01:30:54
10
To see more videos from user @fumau_bin_mjeje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About