@stevetobsmedia: Kwanza niseme, Paul Clement mwaka huu kaumaliza! Hatumdai kabisa. Kwa hizi verse mbili alizopiga kwenye wimbo "Mungu wa Faraja Yangu" wa Elia Mtishibi na kwenye wimbo wa Neema Gospel "Sijawahi Shida", kiukweli ameshamaliza kila kitu mwaka huu. Binafsi simdai kabisa kwenye eneo la uimbaji. Sasa nakupa angalizo... Kuwa makini sana na Paul Clement. Ukisikia amesema neno "Neema" kwenye wimbo, kimbia mbali kabisa! Maana hapo Paul huwa amehama; si Paul unayemjua. Na hawi peke yake, anakuwa na Mzee wa Siku. Ni hatari! Hapo podo lake linakuwa limejaa mishale tayari kwa kushambulia ngome ya Ibilisi. Usiende kizembe, maana wakati huo shetani anapata tabu sana. #mungukwanza #ChristinaShusho #DreamersCenter #NenoLaMungu #Huduma #Injili #yeshua #jesus #jesuslovesyou #passover2025 #easther #jesusisking #masia #samsasali #ibada #women #ccm #chadematz #act #pricillashirer #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #tanzania🇹🇿 #daressalaam #kariakoo #dodoma #mbeya #arusha #mwanza #kenyan #nairobi #kampala #kigali #rwanda #bunjumbula #goma #congo #congolese #uganda #africanart #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #kenyatiktok #daressalaam #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪nairobi #tiktokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #christianfashion #Buckethead #nairobitiktokers #ambwenemwasongwe #africa #gladnessmwanga #farajacute #5star #women #samsasali #ibada #zingatiaibada #farajacute #gladnessmwanga #kerinelife#tiktokkenya🇰🇪 ###tanzaniantiktok🇹🇿 ##Buckethead #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #daressalaam
Ila huyu kaka Mungu azidi kumtunza🙌🏾😍 hakuna wimbo anaimba na usibadilishe situation hatakama ni kwa maneno machache❤️🙌🏾
2026-08-01 04:40:24
9
British cosmetics :
linajua Adi linakela ili jamaaa🔥🔥🔥
2026-08-01 07:51:04
6
mamajuniour_tailoring :
Bwana ni nguvu zangu upande wakulia ni nguvu zangu upande wa kushoto🙌🏾
2026-08-01 05:39:35
6
Alisen Pastory 14 :
Paul Clement Bwana Akubariki Sana Kaka na Akupe Maisha Marefu Sana
2026-08-01 09:17:32
3
Mwaj🌸 :
sitazimia wakati wa taabu kwasababu nguvu zangu zi Chache na hata kama nikichoka utaniletea msaada. usipoenda nami sitoki hapa watajuaje kua nimepata NEEMA😭🤲
2026-08-01 02:45:40
7
Nkindason Real Estate Agency :
jina la wimbo pleaz
2026-08-01 10:23:37
0
shady Graphics :
Fire 🔥
2026-07-31 16:50:35
2
Robert daughter 712 :
"watajuaje kama nimepata neema"
barikiwa sana
2026-07-31 19:37:31
5
charming nurse :
amen,,,hii nyimbo inaamsha iman yangu nakuzid kuutafuta uso wa Mungu