@minobongo25: CRDB BANK wamzawadia mtoto wa Zuchu Shilingi milioni 10 wasema huu ni mwanzo tu.

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 31 July 2026 17:18:31 GMT
72461
5529
113
61

Music

Download

Comments

user6843948611902
ummu HUDHAIFA :
Amalawi azanga mulikut abale ndiliko ndekha kuno tamabwelani kay
2026-07-31 20:36:11
0
monica.wa.gondwe
Monica Wa Gondwe :
congratulations 🎊 lioness 🥰🥰🥰🥰
2026-08-01 00:46:05
0
user6961654258865
mo nahla :
wasanii wakizaaa wapewa zawadi ila sisi mhmh
2026-07-31 17:23:47
57
aboudahmed953
mafash-fash :
so proud me
2026-07-31 20:41:32
1
mamkubwa88
✌️ ❤️ :
Sasa mliosema kajifungua jana mliambiwa na nani?
2026-07-31 18:56:14
25
doreen1602
doreen :
Mtoto hajazaliwa ana milioni kumi 😂😂 wengine tumeteseka Miaka 20 hata milioni kwenye account hatuna 🙌 ALL THE BEST Zuchu
2026-07-31 20:50:28
11
annamtuwa5
juliana3 :
zuchu is a good woman serious
2026-07-31 19:38:21
1
siajabufadhili
Siajabu Fadhili :
hongera
2026-07-31 17:54:28
1
.........naah
N@h! :
wako atapewa bei gani ukijifungua😂
2026-07-31 18:06:45
7
hubaally509
official huba outfit 🔥✅🛍️🛍️ :
Jamani kwani sisi wengine atuja zaliwa mbn sina kumbu kumbukumbu kama wazazi zetu walipewa ata million 1 🤷🏽‍♂️😂 au sisi tumeshushwa
2026-07-31 17:49:30
10
tinah256444
tinah256 :
Blessings Zuchu
2026-07-31 17:53:05
2
zahaal_zein
zahaal british :
kwaio crdb kuniibia mim 40k zangu mkampa zuchu au sio😳
2026-07-31 23:17:17
1
userprincessdalii
Haleemah🦋❤️ :
Sema CRDB wanatoa sana..NMB sasa
2026-07-31 20:54:29
7
user6076524062947
Neneeh😘 :
Niongee kwa kusimama ama kwa kukaa😂
2026-07-31 21:14:17
1
chann328
user2359616594086 :
Allah akuzidishiye Baraka tele zuchu
2026-07-31 20:54:58
2
user7154954954818
.. :
wema sepetu alipewa ngapi kwani
2026-07-31 21:01:16
0
my390842
My :
Laiti mama Dangote angejishusha bila kiburi cha pesa za mwanae wangeendana sana na zuchu. nawapenda kila mmoja kwa wakati wake. ila kiburi kingeaxhwa mbali hasa Mama ashuke sio dhambi
2026-07-31 18:16:12
12
happypaula606
happyiness :
hio ni shilingi mia moja za Kenya
2026-07-31 18:34:01
0
cutepmohaa
cute p :
hongera zuu🥰🥰
2026-07-31 20:49:08
2
user6961654258865
mo nahla :
ya kuzaa
2026-07-31 17:27:09
2
user81478040187673
chabynan💞 :
n mm jamn nategemea kujifungua naomben at nus milion
2026-07-31 18:09:06
3
teacher9898
teacher :
mungu amsimamie kwa kweli
2026-07-31 17:53:52
2
penebway1
mama bademi👬 :
kumbe ni leo nimejisikia kulia yani
2026-07-31 19:15:50
2
evva3827
baby face cp :
😂😂😂 nimecheka ila ss hawatuoni uongo
2026-07-31 19:48:29
0
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About